Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar 3 na Uganda 5 penati moja zanzibar wamekosa na moja hakupigwa kwasababu hakukuwa na haja ya kupigapenati zimekwisha sisi 4 wao 5. Yahee twatoka
haukuona afta wamefunga goli la kusuluhisha waliloose confidence kabisa..kubutua butua..Sasa wanaogopa nini wakati wanja zima limejaa ili kuwapa support wao???
kwa hiyo inayofuata ni wabara?
nani kakosa hiyo penalt?
Half time ngoma 0 - 0
Tumeonyesha uhai lakini hakuna mmaliziaji na mara nyingi huwa tuna mtegemea Ngasa kuanzisha mashambulizi lakini naona leo kabanwa ila naona Boko kaingia badala ya Henry Joseph Shindika......unatakakulinganisha bure na pesa?Asante sana kwa kutuhabarisha. Naomba nikuulize maswali mawili, katika kipindi cha kwanza Kili Satars walionyesha uhai au matumaini kuwa wanaweza shinda au walikuwa wanashambuliwa? Ilo la kwanza, la pili mashabiki wamejaa au muda huu wamepungua kutokana na kuwekwa kiingilio?