Challenge ya 2011; matches na results

Challenge ya 2011; matches na results

Bado Dakika 5 Malawi wako nyuma ya Ivory cost kwa goli moja.
 
Mpira umekwisha malawi wametolewa kwenye masindano kwa kufungwa goli moja na Ivory Coast....
Kesho Zanzibar na Uganda saa nane na saa 10 ni kati ya Kilimanjaro na Rwanda
 
Mapema Ethiopia imewaondoa Zambia kwa ushindi wa magoli 2 kwa 1.
 
Asante wanaspoti kwa kutuhabarisha . Mwenzio akinyolewa weye tia maji mmh1 sijui kesho Bara na Visiwani tutapona! Ninawasiwasi na mipira ya akina Nsajigwa
 
naam huenda finali itakua ni baina ya TANganyika na ZANzibar = TANZANIA
 
Leo ni:
Zanzibar na Uganda
Tanganyika na Rwanda
Mungu ibariki Tanganyika, Mungu ibariki Zanzibar ilitukutane nusu fainali.....
 
Jamani ata minatamani iwe hivyo...Kilimanjaro stars..GO GO GO!!!
 
mwenye kuona kinachoendelea muda huu kati ya Zanzibar Heroes na Uganda "the Cranes" atuhabarishe
 
Usiogope, mpira ni dk 90 plus mikwaju ya penati wakitoshana nguvu.
haha..wazenji wanaweza kweli!??
kiduku ndo hobby!
Afu nasikia siku hizi kuna kiduku mpapaso!??
 
haya tupeni mambo huko kinaendelea nini, maana sipati picha huyo Canavaro anavyohema...
 
Back
Top Bottom