Challenge ya 2011; matches na results

Challenge ya 2011; matches na results

Mmmh! Nurdin leo kawa forward? Hongera Nudin, hongera stars! Gangamala ukifunga la tatu unakuwa umefunga "hatitriki".
 
Mpira umeisha, tumeshida 2-0. Still a very long to go, am kind disappointed na perfomance yetu, sijui kama tutaweza ku retain kombe kwetu.
Cheers!
 
Mmmh! Nurdin leo kawa forward? Hongera Nudin, hongera stars! Gangamala ukifunga la tatu unakuwa umefunga "hatitriki".

Timu yetu inakosa goal poacher, kazi kubwa amekuwa akifanya Ngassa ila umaliziaji unakuwa bomu. Huyo Nurdin kuna goli kakosa YEYE NA NYAVU.....Sad indeed!
 
Timu yetu inakosa goal poacher, kazi kubwa amekuwa akifanya Ngassa ila umaliziaji unakuwa bomu. Huyo Nurdin kuna goli kakosa YEYE NA NYAVU.....Sad indeed!
Kwa kuwa amefunga magoli mawili, tumkubali tu. Ila hii fwd ya Stars itafutiwe dawa, mie nafikiri Poulsen awarudishe kina mau mkami, makumbi, lunyamila, mogella na Tino. Najua wazee lakini ujuzi auzeeki! lol!
 
Lol!
1. Hatuna goal poacher (though hili ni tatizo na timu nyingi)
2. Team play hamna
3. Zile pasi moja moja, mtu anafungua za Maximo zimepotea, leo tulikuwa tukipiga pasi 5 mfufulizo basi bahati.
4. Cha kusitikisha i dont see kama tuna fanya any progress kiuchezaji kadr siku zinavyo enda, kila siku afadhali ya jana, sijui mwakan tutakuwa ktk hali gani. All in all ushindi wetu ni more or less wa bahatbahati tu.
Ni mtizamo tu.
 
Kwa kuwa amefunga magoli mawili, tumkubali tu. Ila hii fwd ya Stars itafutiwe dawa, mie nafikiri Poulsen awarudishe kina mau mkami, makumbi, lunyamila, mogella na Tino. Najua wazee lakini ujuzi auzeeki! lol!
Ebwanaeeee, kitu kitwana suleiman, mchunga bakari...ben luoga
 
Mechi iliyo malizika ilikuwa kati ya Sudan 0 na Ivory Coast 3, mchezo ulikuwa wa upande mmoja Ivory Coast walionekana kuwazidi ujanja Sudan
 
Mpambano unao endelea kwasasa ni kati ya Uganda na Kenya, mpaka sasa hakuna timu iliyopata goli, mpambano ni mkali
 
Mpira ni mapumzikoa kati Uganda na Kenya hakuna timu iliyo pata goli
 
Dakika ya 85 Emmanuel okwi anaipatia Uganda goli la kuongoza...
 
Gooooooooooooooooooooooooo Uganda wana pata goli la pili kwa njia ya penalt
 
Wakenya msimu huu ni mdebwedo wametoka kenywe mashindano bila pointi hata moja...Jumanne robo fainali zinaanza, kimbembe ni Jtano pale Tanganyika (Kilimanjaro Stars) itakapo kutana uso kwa uso na Rwanda...Best loser ni Zanzibar na Ethiopia
 
Ndugu Wana JF, ikiwa kuna yeyote aliye na matokeo ya mechi baina ya Ivory Coast na Sudan atuwekee. Asanteni sana.
 
Zambia mpaka dakika ya 60 ilikuwa nyuma kwa mabao mawili zidi ya ethiopia..kama kuna updates atujuze tafadhali na kuna mechi inaendelea kwa sasa kati ya Malawi na Ivory Coast nani anaongoza...?
 
Dakika ya 60 kati ya Ivory Coast na Malawi hakuna timu imeona lango la mwenzake.....
 
Back
Top Bottom