Nafuu tumeshinda, sasa tujipange vizuri,, naamini tutacheza na Ivory Coast next. Katika haya mashindano sipendi vitu viwili, cha kwanza wageni wawe mabingwa, jana nilifurahi sana kuona wageni Zambia na Malawi wanatupiwa virago vyao. Furaha yangu itakamilika kuona na Ivory coast anaunga tera la wenzake. Pili sipendi Uganda atwae ili kombe kabisa, mana watakuwa wameweka rekodi ya kutwaa mara tatu (hut trick) sifa ambayo sitaki nchi nyingine iwe nayo zaidi ya Tanzania, kwa maneno mengine ama Kilimanjaro Satrs ama Zanzibar heroes na sio mshamba mwingine.