Challenge ya 2011; matches na results

Challenge ya 2011; matches na results

sasa macho kwa Simba na Yanga tuone watafanya nini kwenye mashindano yaliyo mbele yao
 
There are currently 69 users browsing this thread. (26 members and 43 guests)
Crashwise* Mkorintho mchonga Edgartz Yombayomba Kalamu Daftari Shedafa Mtu wa Pwani Mythbuster Mujuni2 polisi Kukaya Mtoboasiri PingPong D5 guru Chimunguru Kilakshari Matarese ejogo kingmaker genekai Ivuga Bantugbro Balantanda locust60
 
Hongera sana Tanganyika stars! Mmetupa raha tuliyomisi kwa miaka!
 
hongera sana kilimanjaro stars, nina furaha kuliko maelezo walau hata nasi tutaanza kufanya reference ya makombe tuliyochukua sio kila siku kusindikiza tu. HONGERA POULSEN..HONGERA KILI STARS :A S crown-1:😛eace:😛eace::first:
 
sasa hvi mnataka kusema waliochukua ni Tanganyika na sio Tanzania bara ?

mbona mnatumia bendera ya Tanzania na wimbo wa tanzania

tuache kubaguana

Tusiwabanie Watanganyika kaka, Wamegangamala Lazima Tuwapongeze
 
kaseja has proved those who contend him wrong...kwa kipindi chote ambacho yeye hakukaa golini hatukuwahi hata kufika nusu fainali...amerudi tu...na kombe...tena akiwa amefungwa goli moja tu.....apewe hongera zake....

maximo to hell...alipokuwa hapa alidai anatakiwa na timu kubwa barani afrika na kwingineko duniani lkn sasa mwaka unaisha hatujasikia akifundisha.......
 
sasa hili limeisha tujipange kwa mengine

timu zetu zote mbili zivunjwe rasmi na kurudi kwenye taifa stars na kuanza maandalizi ya yanayotukabili
 
kaseja has proved those who contend him wrong...kwa kipindi chote ambacho yeye hakukaa golini hatukuwahi hata kufika nusu fainali...amerudi tu...na kombe...tena akiwa amefungwa goli moja tu.....apewe hongera zake....

maximo to hell...alipokuwa hapa alidai anatakiwa na timu kubwa barani afrika na kwingineko duniani lkn sasa mwaka unaisha hatujasikia akifundisha.......

Nani kakwambia Maximo alikuwa Kocha? Maximo alikuja hapa kwa Ubrazil wake tu wala hakuwa Kocha, Jamaa ni Misheni Town mitaa ya Reo de Jeneiro
 
Huyu kocha jamani anaonekana ni mtaalamu sana kwenye mbinu za mchezo coz tulivyoanza watu wengi walikata tamaa ila jinsi mashindano yalivyokwenda mambo yamekuwa tofauti kabisa, hongera sana Poulsen walau wewe umetufanikisha kuchukua kombe hili...........kwa maximo naweza kusema shukran kwa sababu asilimia kubwa ya haya tunayoona leo yameanzishwa na yeye.
 
Hongera Kilimanjaro Stars. Mmepigana kiume kwenye mvua na kwenye jua ili kuhakikisha mnakuwa mabingwa wa afrika Mashariki na kati. Mnastahili ushindi huu. Tena, ushindi huu uwe changamoto ya kufanya vizuri katika mashindano mengine. Uwezo mnao!
 
Hongera Yanga African, husan kwa Nsajigwa aliyetupa furaha wa Tanganyika.
 
Huyu kocha jamani anaonekana ni mtaalamu sana kwenye mbinu za mchezo coz tulivyoanza watu wengi walikata tamaa ila jinsi mashindano yalivyokwenda mambo yamekuwa tofauti kabisa, hongera sana Poulsen walau wewe umetufanikisha kuchukua kombe hili...........kwa maximo naweza kusema shukran kwa sababu asilimia kubwa ya haya tunayoona leo yameanzishwa na yeye.
Kweli kabisa. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Maximo alitutoa mbali sio vizuri kumbeza. Tatizo lake lilikuwa ni kisasi, kikosi chake kilikuwa kila mara kina matatizo ya makipa, na Kaseja alikuwepo lakini akumuita kwenye timu. Angeacha kisasi chake na kumruhusu Kaseja golini enzi zile uenda na yeye Maximo sio tu angesaidia Stars kufanya vyema mashindanoni na hata kutwaa vikombe, bali pia angeendelea kuwako leo kama kocha wa Stars. Hasira, kutosamehe, kisasi, ubishi, umwinyi, umwamba, na mambo mengine kama hayo sio vizuri mwanadamu akayaendekeza. Ona sasa imekula kwake wakati Kaseja anameremeta.
 
Magoli yenyewe memngi ni ya matuta kiwangi baaado saaana
 
Magoli yenyewe memngi ni ya matuta kiwangi baaado saaana

Goli ni Goli tu mwanangu mradi ushindi umepatikana! Hukuona Maurinho mwaka jana alikuwa anapaki hadi ndege mradi amepata goli na mwisho ubingwa wa ulaya alichukua!
 
Nani kakwambia Maximo alikuwa Kocha? Maximo alikuja hapa kwa Ubrazil wake tu wala hakuwa Kocha, Jamaa ni Misheni Town mitaa ya Reo de Jeneiro
hivi hakuwahi kuweka cv yake wazi
 
Back
Top Bottom