Challenge ya 2011; matches na results

Challenge ya 2011; matches na results

Ethiopia inapata goli kupitia kwa Shemele Godo..
 
Shemele Godo tena amewainua mashabiki wake Ethiopia 2 Kenya 0 dakika ya 45....
 
Kenya wanacheza mpira chenga twala wala....Mpira ni Half time Kenya 0 - Ethiopia 2
 
Huyo mfungaji anaitwa shemele au shameless kama wanavyomtamka tbc
 
watani wetu wa kenya inaonekana ndo safari ya kurudi nyumbani imewadia
 
Bahati siyo check hiyo iligonga nguzo ya juu
 
Mlioko uwanjani, tupeni matokeo wengine tupo safarini
 
huwezi amini jf mambo ya nje tuko tayari kyrepoti kwa haraka ila la kwetu duh
 
huwezi amini jf mambo ya nje tuko tayari kyrepoti kwa haraka ila la kwetu duh

Ni kipindi cha pili na bado 0 0::

Zanzibar wanashambuliwa sana na sasa kuna kona - ZNZ wameponea chupuchup

Kona nyingine kuelekea ZNZ!
 
Back
Top Bottom