Challenge ya 2011; matches na results

Challenge ya 2011; matches na results

Bora ninyi ambao hamuangalii. Kili is disorganised tumekoswa goli kali mno. Winning will be a bonus
 
ngassa kabaki na kipa akakosa ila
kajitahidi walau kulenga golini
Stephen mwasika nae......
dk ni ya 73
 
huu ukimya sio mzuri jamani, tupeni update. pressure inapanda, pressure inashuka...
 
Jamani tupate hatagoli moja maana atakayefungwa sasa shivi kurudisha ni ishu
 
Au ngoma ndio inaelekea kwenye matuta kama nilivyotabiri hapo awali
 
Back
Top Bottom