Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,191
- 677
- Thread starter
- #521
Nasikia na Katibu mkuu wa CUF naae yuko
huyu makamo wa rais wa kwanza kule zanzibar au huyo alieteuliwa kumsaidia kazi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia na Katibu mkuu wa CUF naae yuko
Seif ni mpinzani?napmba tujuilishwe ni viongozi wepi wa upinzani wapo uwanjani kwa ajili ya kuipa shavu stars
jee silaha yupo?, Mbowe, Zitto, lipumba, Seif na wengineo ?
Idrisa Rajabu alieumia dakika ya 7 ameshindwa kurudi badala yake anaingia Kigi Makasimpaka sasa mnaonaje game, kuna matumaini?
Hii habari mbaya sana kwa Kilimanjaro Starsmasikini idrissa rajabu kavunjwa mbavu, kaingia kigi makasi
Bado sana mkuu....mpaka sasa mnaonaje game, kuna matumaini?
Lakini Kigi Makasi sio mbaya pia, labda kama kashuka kiwango.Hii habari mbaya sana kwa Kilimanjaro Stars
Hii habari mbaya sana kwa Kilimanjaro Stars
Kwani CUF ina makatibu wa kuu wangapi......huyu makamo wa rais wa kwanza kule zanzibar au huyo alieteuliwa kumsaidia kazi ?
Kweli mkuukaseja alifanya bonge ya mistake pale dah