Hahahahahaahahaahahahahaaaaaaaaπππππ€£π€£π€£Nyie wapare hivi kweli huo ubahili, yaani mtu aingie hotel nyota tano aogee kwenye ndoo?
Yavuneni hayo maji muyarudishe kwenye system kama mnao huo ujanja.
Usione maji ya bahari, maziwa na mito yanatiririka hovyo unaona ya gesti .
Au una maana nyingine ?
Umecheka hadi nimecheka ujueHahahahahaahahaahahahahaaaaaaaaπππππ€£π€£π€£
Nyie wapare hivi kweli huo ubahili, yaani mtu aingie hotel nyota tano aogee kwenye ndoo?
Yavuneni hayo maji muyarudishe kwenye system kama mnao huo ujanja.
Usione maji ya bahari, maziwa na mito yanatiririka hovyo unaona ya gesti .
Au una maana nyingine ?