Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namibia
Hahah!! Poa rafiki usijariEwaaaaa. Huu ndio urafiki wa kweli aisee.
Shukrani sana rafiki.
Hakika mkuuNaona ameku-friendzone boss
Uanaume ni kung'ang'ana, kazi ni kwako.Hakika mkuu
Hahah!!Uanaume ni kung'ang'ana, kazi ni kwako.
Hahaaa. Lol.Uanaume ni kung'ang'ana, kazi ni kwako.
Hahahaaaa.Hahah!!
We siyo wa kumfanyia hivyo mshkaji.Hahaaa. Lol.
Hahaaa. Kwani rafiki hawezi kumjali rafiki yake.We siyo wa kumfanyia hivyo mshkaji.
Anaonyesha anakujali wewe unamuita rafiki, siyo fresh.