Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hahahaha! Kwani wewe ni kibabu?..lol.
Wacha ninyamaze....Usijifanye hujui
Mzima weye mama watoto?
Dah! Nimesoma comments zote ila sitoweza kujibu moja moja.
Kuna mliosema nalia lia ili nionewe huruma, sio kweli maana sioni nionewe huruma ya nini wakati maamuzi nimeshayafanya!. Humu tunajifunza kupitia kwa watu. Ningeweza kuondoka kimya kimya ila nisingependa kuondoka bila kuwaaga marafiki mkajiuliza kama nimekufa au lah (kuna rafiki yangu nae ametokomea na amenipa mashaka kwa muda mrefu).
Najua wengine mtakuwa mmejifunza mengi hapo, na wale wanaohisi ni habari ya kutunga wanakosea.
Sijaja kumlaumu yoyote isipokuwa nilipenda kushare nanyi yaliyonitokea (kama kuna aliyekwazika anisamehe). Kuhusu kuwataja sitoweza maana kiustaarabu sio vizuri na hata sheria inakataza.
dear husninyo wanaokupa hongera kwa kitendo cha kuamua kuondoka ukiwa umejifunza kutokana na makosa na kwa kitendo cha kushare maajabu yaliyokupata hawakosei kwani wengi wangefanya hii ni siri yao na kupotea kimyakimya,kama hapo pa kibabu mim sidhani kama ningesema.
Pia wanaokupa pole na kukuonea huruma mi naona pia uwaelewe mpenzi,hata mim ninakuonea huruma jinsi ulivyopoteza muda wako (mwingi labda) Pm ukiwasiliana na hiki kibabu ukidhani umeopoa kijana mwenzio,Pia mim kama msichana najua siku uliyokwenda kukutana na kibabu ulivyotumia muda wako kujiremba au hata kuingia gharama za salon labda kununua perfum nzuri na jinsi ulivyovaa nguo unazoamin zinakupendeza kuliko zote ili uwe atractive kwa "kijana" mtakapokutana inatosha kuwafanya watu wakuonee huruma .Pia mshituko ulioupata na jinsi ulivyojisikia baada ya kukiona kibabu badala ya yule kijana wa kwenye PM aliyekuvutia kiasi cha kufunga safari kwenda kukutana naye inatosha watu kukupa pole na kukuonea huruma.Pia kwanini watu wasikuonee huruma wakati mwanajf kakurusha pesa zako na inaonesha zinakuuma ndo maana ukachukua muda wako kuziongelea.Na huyo rafiki yako aliyepotea bila kukueleza chochote huoni kuwa labda inawezekana hakuwa akiuchukulia urafiki wenu serious sana sbb ni urafiki wa kimtandaoni ndo maana akaondoka bila kukwambia chochote,au labda s/he is no more.Ninachokisema hapa ni kuwa wewe unasema huoni sababu ya kuonewa huruma lakini mim kwa mtizamo wangu sina haja ya kukudanganya sbb wewe ni ndugu yangu wa kimtandao,UNASTAHILI KUONEWA HURUMA.
na utamkopesha vp mtu hela kama hamfahamiani???!!!this is weird.
Venue bora ikuwe madagascar, unajua mimi madokta wamenishauri nisiipendelee sana hali ya hewa ya bongo na ikibidi bas nitembee na mwavuli kama marehem maiko jaksoni, sasa naona hii itakuwa usumbufu. Viza ya madagascar unayo au niwasiliane na waziri wa mambo ya nje akutolee?
Nimesahau ujue! Paw popote ulipo tafadhali usithubutu kum ban klorokwini.
Teh teh teh...it sounds kinda peculiar, doesn't it?
Mimi muoga sana wa kukutana mijitu ya humu. Huwa sitaki na sipendi kabisa save for 3 people one of whom was just by pure happenstance and he seems to be a real class act.
Heri nimpe tu kuliko kumkopesha.
Unajua ingekua mtu 1 au 2 labda ningemuelewaa sasa yeye watu wote hao wa nini?? A fishy story. Acha tu niendelee na uwoga wangu utanisaidia.
samahanini wapendwa,
nitarudi baadae au kesho kujibu comments zenu. nimetingwa kidogo halafu
network haipo vizuri upande wangu, msihofu tutakuwa wote mpaka alhamisi.
ban yangu itaanza rasmi ijumaa.msihofu kuhusu mimi, nipo na amani
kabisa na niliona si vibaya kushare nanyi haya mambo. challenges nyingi
niliweza kuziovercome ila ndio hivyo unapokosea ndio unapata fursa ya
kujifunza zaidi.
Wifi nae kapotea sana siku hizi, sijui utasaidiwa na nani lol... Afu kumbe sijakwambia biashara ya madera nimeiacha eeh?...sweetlady, wifi kipenzi sijui yuko wapi aje anisaidie na sheria za ushemeji shemeji! Huwezi kumuita shem wako bila mpangilio. Afu nna wivu siku hizi, sijui nazeeka! Kha!
Na kwa taarifa mi huwa sikopi, nakopesha bila riba. Uje nikuongezee mtaji wa madera.
Mie ntafuata ushauri wa Nyani Ngabu , napotea kimya kimya wala hamtajua nini kimenipoteza...SL mpenzi wangu,sasa kama hajakutana nao imekuwaje akapatwa na hayo majanga?na utamkopesha vp mtu hela kama hamfahamiani???!!!this is weird.
Naomba na ww usije ukaondoka kama Hus mtanifanya nizimie;-)
Pia wanaokupa pole na kukuonea huruma mi naona pia uwaelewe mpenzi,hata mim ninakuonea huruma jinsi ulivyopoteza muda wako (mwingi labda) Pm ukiwasiliana na hiki kibabu ukidhani umeopoa kijana mwenzio,Pia mim kama msichana najua siku uliyokwenda kukutana na kibabu ulivyotumia muda wako kujiremba au hata kuingia gharama za salon labda kununua perfum nzuri na jinsi ulivyovaa nguo unazoamin zinakupendeza kuliko zote ili uwe atractive kwa "kijana" mtakapokutana hii nayo inatosha kuwafanya watu wakuonee huruma .Pia mshituko ulioupata na jinsi ulivyojisikia baada ya kukiona kibabu badala ya yule kijana wa kwenye PM aliyekuvutia kiasi cha kufunga safari kwenda kukutana naye inatosha watu kukupa pole na kukuonea huruma.Pia kwanini watu wasikuonee huruma wakati mwanajf kakurusha pesa zako na inaonesha zinakuuma ndo maana ukachukua muda wako kuziongelea.Na huyo rafiki yako aliyepotea bila kukueleza chochote huoni kuwa labda inawezekana hakuwa akiuchukulia urafiki wenu serious sana sbb ni urafiki wa kimtandaoni ndo maana akaondoka bila kukwambia chochote,au labda s/he is no more.Ninachokisema hapa ni kuwa wewe unasema huoni sababu ya kuonewa huruma lakini mim kwa mtizamo wangu sina haja ya kukudanganya sbb wewe ni ndugu yangu wa kimtandao,UNASTAHILI KUONEWA HURUMA.
i think topic yako imekuonyesha mwenzetu ulikuwa hapa sio kuposti tu bali hunting pia for someone/a man which is not a bad thing...
Mimi bado natafakari kuondoka na husninyo wangu, namalizia mipango ya kutoa rushwa boda la rwanda nitorokee nae congo kinshasa. Kishindwe na kilegee kibabu cha challenge D.Mie ntafuata ushauri wa Nyani Ngabu , napotea kimya kimya wala hamtajua nini kimenipoteza...
Mimi bado naumia Yummy, sitaki Husninyo aondoke.