klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Fellow tablet lakini haya mambo hata sisi wanaume yanatukuta bana, kuna kadada kalikuwa kwenye PM daily kananiambia mitaani wanakiita alicia keys kwakuwa kafanana nae, tukapanga kukutana, ile siku tunaonana ikabidi nimuulize kama ana uhusiano wowote na Lucy Kibaki manake kopi tu raiti, nilikuja kugundua kumbe kalikuwa kanataka bia za bure tu. Tena bora nisijikumbushe tu manake namimi naweza nikajiskia kuaga anytimeKhaa! Ngoja nimrudishie Hus hela yake bana, naona mnanizushia yasiyonihusu. Hicho kibabu lazima atakuwa Mwali. Au ulifikiri Mwali ni demu? Stuka! Think!
this is a very interesting thread
i am very interested kujua JF family itasemaje kuhusu hili
in a way ni appeal to the community for a fair trade
Umeanza kwa kusema:
[/B][/COLOR][/U]
Then unakuja kumalizia kwa kusema:
Practice what you preach, don't extrapolate!
Acheni udhalilishaji wa kijinsia. Manake sasa unachokitafuta aje mwengine aanze kumuumbua Husninyo tu.
Hamuwezi kuwazungumzia wanawake bila ya kuwaza ngono?
You have hit the bull's eye
Ukijoin MMU uwe tayari kwa mambo kama haya... ila faida za kuwa mwana MMU ni kubwa kuliko hasara
kamanda what makes it interesting why would someone want names? Maybe a challenge that one on the list?
mhh! ni faida gani za kuwa mwana MMU!? no offense but wachakachuaji wa thread wengi wanatoka MMU ... hadithi nyingi za kutunga zipo MMU!
Fellow tablet lakini haya mambo hata sisi wanaume yanatukuta bana, kuna kadada kalikuwa kwenye PM daily kananiambia mitaani wanakiita alicia keys kwakuwa kafanana nae, tukapanga kukutana, ile siku tunaonana ikabidi nimuulize kama ana uhusiano wowote na Lucy Kibaki manake kopi tu raiti, nilikuja kugundua kumbe kalikuwa kanataka bia za bure tu. Tena bora nisijikumbushe tu manake namimi naweza nikajiskia kuaga anytime
By jf family, what ar u trying to insinuate?
...Mie kuna watu nimefahamiana nao hapa kwa kweli ni watu poa sana tumekuwa marafiki wa karibu mno, lakini inabidi uwe muangalifu kupita kiasi kumchunguza mtu kabla hujampa contacts zako hata mashushu humu wamo wanataka kujua kila kitu chako umezaliwa lini, unaitwa nani, unaishi wapi, una watoto wangapi umeoa au bado bachelor. Nimeshaulizwa maswali haya na akina dada ambao walidai ni wazuri sana wanataka uhusiano na kama tukija kuonana basi nitafurahia maamuzi yangu ya kuwafahamu...Dah! akili mkichwa!!! nikafuta pms zao bila hata kujibu.
Acheni utani, JF imekuwa ya msaada sana kwangu.
Nakumbuka zilikuwa zimebaki siku chache sana nifunge ndoa. Bestman wangu akawa haeleweki. Nikiwasiliana naye kuhusu mipango ya kwenda kufanya manunuzi (tena kwa ghalama zangu) ananikwepa. Nilipomkumbusha siku ya kwenda rehearsal na kubaini hatuko ukurasa mmoja nikachanganyikiwa. Haraka sana nikamkumbuka mtu mmoja aliyewahi kuniomba mchango wa harusi kwa PM hapa JF. Huyu mtu japo nilimchangia, hatukuwa tumewahi kukutana na wala hatukuwa tunajuana. Roho ikanituma kuwasiliana naye. Jibu lilikuwa, USIPATE SHIDA. Hivyo ndivyo ilivyokuwa JF ikawa imenipa Bestman and Best-friend. Asante sana JF, Udumu Milele
mwalim unataka niongope? Kuna wanawake amabao nikiwaangalia
wazo langu la kwanza juu yao ni how she looks naked. Ni nature huwezi pingana nayo
sifanyi sababu nawadharau, ila na appreciate their beauty and my body parts support.
Mkuu kuna ukweli kwa uliyoyasema lakini pia kuna the other positive side of JF. Ile thread ya Umefaidika na nini hapa JF inaeleza mengi. Kama JF Marketer
https://www.jamiiforums.com/habari-...efaidika-nini-na-jf-tangu-ulipo-jiunga-3.html
Nichukue fursa hii nami kuomba radhi kwa wote waliojihisi kupata challenge kutoka kwangu
Binafsi sina shaka na real/ID yoyote humu coz hiyo ndiyo JF na ukibadili hilo basi haitakua JF... and in this context ndio kunakua na avenue ya few abusers wa mfumo huu (kwa kutumia IDs)... it is not unexpected... labda ingetokea otherwise ujue ingekua mbaya zaidi
I have met over 100 members wa MMU lakini naweza kusema i am 90% happy with MMU friends, ni lazima kunakua na a few snags, lakini hizo huwa haziepukiki
BACK TO TOPIC: In a way HUsninyo ana-complain.... na hiyo kidogo kwangu naona challenges, kwani kuna matatu
- dalili za any abuse huwa zinaonekana kuanzia mwanzo... she took too long to stop
- anaweza bado akasimama na kukomaa nao waliomsumbua na kuamka kidedea bila kuondoka
- we should encourage each other kusaidiana zaidi kuliko kubabuana....
I plea - Husninyo to stay in the forum
How did you do that? lolHusninyo,
Kama unaweza kuongea nnɾ nnƃıɯ ıuıɥɔ ɐʍɥɔıʞ ni pm kwa challenge mpya.
Hujakatazwa kufikiri unachofikiri, unachokatazwa ni kukisema hadharani hususan kwenye thread kama hii ambayo mhusika analalama kwa mambo kama hayo
Sio kila linalofikiriwa kichwani linafaa kuwekwa hadharani, tambua hilo
Anaesema kila limpitikialo kichwani kwa vile tu haongopi [kwa mujibu wa kichwa chake kinavyomtuma], hutoka katika fungu la wastaarabu na kudumbukia kwenye wadhalilishaji, wabaguzi, na mengineyo yenye kuchukiza jamii
Heri umewahi maana nilikuwa kwenye process za kukufungulia thread. lol
Hahaha! After jk's doomed speech at least someone is making my day! Hebu kutana na mie mwaya, unajua mie ndo hale berry wa huku kitaa, ama salma hayek, wamjua?