Binafsi sina shaka na real/ID yoyote humu coz hiyo ndiyo JF na ukibadili hilo basi haitakua JF... and in this context ndio kunakua na avenue ya few abusers wa mfumo huu (kwa kutumia IDs)... it is not unexpected... labda ingetokea otherwise ujue ingekua mbaya zaidi
I have met over 100 members wa MMU lakini naweza kusema i am 90% happy with MMU friends, ni lazima kunakua na a few snags, lakini hizo huwa haziepukiki
BACK TO TOPIC: In a way HUsninyo ana-complain.... na hiyo kidogo kwangu naona challenges, kwani kuna matatu
- dalili za any abuse huwa zinaonekana kuanzia mwanzo... she took too long to stop
- anaweza bado akasimama na kukomaa nao waliomsumbua na kuamka kidedea bila kuondoka
- we should encourage each other kusaidiana zaidi kuliko kubabuana....
I plea - Husninyo to stay in the forum