Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pwenti tupu bro... kachanganya, halafu kachanganywa.... kimeumana!!
Kama nikishida lotto kati ya watu wa JF ambao ningewagemea kidogo ni wewe? Bado hutanipa namba?
hehehe wewe challenge D haikuhusu kweli wewe?Husninyo mbona mara nyingi huwa sikueleagi dada. nakiri kuwa mimi ndio ulinikopesha ila pesa yako si ulisema nimpe klorokwini naomba umtafute haraka sana yule jamaa inawezekana kakuloga ili usahau.
Kumbe ulirisiti?
this is a very interesting thread
It amounts to web/cyber bullying, or even sexual harassment under the umbrella ya majina feki
i am very interested kujua JF family itasemaje kuhusu hili
in a way ni appeal to the community for a fair trade
If you participate in any forum on the site, you warrant that you will not:
Naamini JF are obliged to follow confidentiality and data protection laws.
- Defame, abuse, harass or threaten others
JAMIIFORUMS reserves the right to reveal any information we have about you in the event of a complaint and legal action arising from any message that you may post. Please also note that all IP addresses are recorded when items are posted.
Khaa! sasa si ungeandika challenge D tu? umeweka details zote, na hiyo challenge E sio Kongosho kweli? Hiyo challenge F haina ubishi ni nitonye tuklorokwini wewe ndie kibabu uliyemtisha swahiba angu Husninyo. Bisha niweke picha yako hapa!
sweetlady, tunamkosa Husninyo hivi hivi... tufanye nini abaki?klorokwini wewe ndie kibabu uliyemtisha swahiba angu Husninyo. Bisha niweke picha yako hapa!
Hahaha! Heri mimi sijasema! Challenge D ndio nimeipenda asee daaah!....Khaa! sasa si ungeandika challenge D tu? umeweka details zote, na hiyo challenge E sio Kongosho kweli? Hiyo challenge F haina ubishi ni nitonye tu
JF ni sehemu ya kipekee ambayo kama mtu hujui hatari za mtandaoni ni rahisi kujikuta sehemu usiyoitegemea.Humu kuna wanaopiga wake zao kila siku lkn wakiwa hapa watalaani wanaume wanaopiga wake zao,kuna waliooa na wanawatoto lkn siku zote wakiwa hapa watapozi kama single men,humu kuna mashoga na wasagaji lkn wakiwa hapa watalaani hivyo vitendo,humu kuna wavivu wasipenda kujishughulisha wanaringia mali za kaka lkn wakiwa humu posts zao ni zaweza kuwa za maana kiasi ukadhani ni watu wa maana kama vitu wanavyoviandika,kuna wengine tunajifanya tumeokoka kumbe tunatype huku mkono mmoja umeshika red wine.Pia hapa JF kuna tuna utamaduni wetu fulani wa kumjua na kumpicture mtu kutokana na posts zake,kama anaonekana wa maana kutokana na vitu vya maana anavyoandika na hii inawafanya wengi tujisahau na kujikuta tunawaamini kiasi cha kuwaleta hawa watu katika maisha yetu ya kweli,mwisho wake ndo hivi vilio.JF siku zote itabaki kuwa salama kwa wenye kujua nini hatari za kwenye mitandao na siku zote itakua ni sehemu ya hatari kwa wanaodhani wanadamu wa JF ni tofauti na wanadamu wa kwenye mitandao mingine.
Pole Husninyo na asante kwa kushare .
We toa venue tu na si unajua kwa mila za watanzania sku ya kwanza garama analipia mwanamke? ningelipia mimi lakini itakuwa ni kuenda kinyume na mila za kabila letu. Tukikutana ya pili apo ndio Lonado Di Caprio wa bongo nafanya kufuru. Ushawahi kutema mate yakalewesha sisimizi na wadudu wengine wewe?
Deskmate! challenge D inamuhusu Saint Ivuga , Saint ivuga na Mugabe wamepishana miezi saba tu, You are the next victim . Think! deskmate think.
Yangu macho mke mwenza, naona wajitafutia challenge hadharani..Hehehe! Hiyo haina noma. Ila sasa inabidi unitumie kwa mpesa walau vilaki 2 hivi kama sign ya commitment (bond collateral) manake ukinikimbia b4 sijakuchakachua ntalaumiwa na bibi yangu aisee. Venue nichague ya bongo ama tukimbie wachawi tukajifiche ughaibuni kidogo (kwa matumizi hapa ndo break yao baba, relax)
Who is Saint Ivuga? hilo jina naliskia sana humu JF... :ranger:Deskmate! challenge D inamuhusu Saint Ivuga , Saint ivuga na Mugabe wamepishana miezi saba tu, You are the next victim . Think! deskmate think.
Sidhani, King'asti anaonekana mstaarabu.
Hahaha! Lawyer bana lol.Deskmate! challenge D inamuhusu Saint Ivuga , Saint ivuga na Mugabe wamepishana miezi saba tu, You are the next victim . Think! deskmate think.