Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Challenges nilizoziface ndani ya jf tangu nimejoin mpaka sasa

Status
Not open for further replies.
Maskini Husninyo.......... watu wameshaacha sympathy, wanadunda na uchakachuzi wa sredi,

kweli ukiona manyoya, ujue keshaliwa
 
Hahahaha! Rede na bi kidude???...lol, cheusi umenchekesha sana!..

ndo hivyo bibie,tokea nimejiunga sijawahi kupishana na member mwenye swaga za kizee kama anavyoelezea Husninyo,wote humu wana swaga za ukijana ukijana.Halafu kukutana na kizee hata kukitukana utashindwa maana watu watakuona mtoto umelaaniwa kutukana babu zako kumbe wangejua mlipotoana !!
 
could be a heart break my friend, sometimes watu wanakua na too much expectations

kuna mshkaji mmoja tulionana, akasema aisee, mimi nilijua utakua bonge la mtu umepiga nondo kichizi.... LOL, nikamwambia kwa upole tu kwamba hizo nondo na joni woka wapi na wapi??

Si ndio hapo Mkuu. Ukikata issue wapo watakaodhani umepiga nondo kichizi.
Wanasahau wapo waliopiga nondo lakini wanachoandika ni pumba.
Wengine hawana nondo; huchangia kwa busara na hekima tuu na wanasomeka.
 
Si ndio hapo Mkuu. Ukikata issue wapo watakaodhani umepiga nondo kichizi.
Wanasahau wapo waliopiga nondo lakini wanachoandika ni pumba.
Wengine hawana nondo; huchangia kwa busara na hekima tuu na wanasomeka.
hahahaaaaaaaaaaaaaaaa..... you got me there buddy

i meant kupiga chuma - misuli kama baunsa wa ledi jeidii
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Pole sana sisy wangu Husni,nitakumiss sn,kwan tulikuzoea na kukupenda pia,kila la heri,But kwa upande wangu kamwe hakuna wa kunitoa jf no matter wat,naamin hakuna lolote litakaloniumiza humu vinginevo niwe nimekubali na ctalijutia!nimefahamiana na wachache na wamenipa connection nyingi za kimaisha hasa ajira,ushauri na mawazo ya kunijenga na cku zote naishukuru jf kwan ndio imenikutanisha nao!ninachoamin watu wa humu hawana tofauti na ninaopambana nao uraian so nitambana nao mwanzo mwisho.
 
Maskini Husninyo.......... watu wameshaacha sympathy, wanadunda na uchakachuzi wa sredi,

kweli ukiona manyoya, ujue keshaliwa
Mkuu wengine tumejifunza kwamba issue ikiwa serious usiisolve kwa userious, na pia tukajifunza kusolve issue kutokana na hobbies za muathirika. Huu uchakachuzi unaouona basi utaleta effect kubwa kwa husninyo kulikoni hizo sympathy za kiPHD PHD. Wengine tuliacha kuwa serious kwenye maisha tangia nyerere hajang'atuka.
Pamoja sana swahiba
 
najua wewe ni mtu wa utani ..baba mwenye jiko asahauliwe tena..vipi mzima wewe lakini?
Nipo nashangaa tu hapa... hivi tufanye nini Husninyo abaki?
I will miss her so much Ivuga, please do something to convince her.
Yu wapi Nyani Ngabu mtani wake, aje amchekeshe maybe atabaki
 
Last edited by a moderator:
cheka kisukari.jf ina mambo.trust me,hizo challenge zimewakuta wengi tu.ila nashukuru sijawahi kukutana na mtu humu,na sitotaka kukutana na mtu humu.ni bora kubadilishana mawazo kwa maandishi tu,na si zaidi ya hapo,maana unaweza kutapeliwa na hujui mtu umtafute wapi.ila nashukuru nimejuana na mtu 1 tu humu,i see him as a brother,nikiwa na shida namuelezea shida yangu,ananishauri kama kaka.najua utaisoma hii.thank you brother.jambo jengine,nina amini kuna watu na heshima zao humu,na kuna watu wengine wana malengo mabaya kwa wenzao.nyie wenye malengo mabaya,mshindwe na mlegee.utapeli wenu uwe huko huko nje.pole husniyo.kuishi ni kujifunza

Yaani kisukari hapo kwenye red ilikuwa kidogo niku-PM.
Nilidhani kama vile napigwa kibuti kiaina.
Thanks umeklarifai hapo kwenye blue.
Nimepokea senk yu yako kwa mikono miwili.
 
Last edited by a moderator:
Maskini Husninyo.......... watu wameshaacha sympathy, wanadunda na uchakachuzi wa sredi,

kweli ukiona manyoya, ujue keshaliwa


kamanda hapa jf watu watakuja nakuondoka atabaki robot tu!
Wakwapi akina Carmel, Nyamayao, baby Smiles? Siku
zinaenda wanakuja warembo wa kale kwa majina mapya! Life goes on.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom