Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Khaaaaa!
umeona ee..ndio maana nilikuomba utengeneze lile dude ..kuna kajamaa kameniharibia kial kitu humu ndani aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaa!
Orait. Ngoja niodhoreshe hizi challenges vizuri.
Nimesahau ujue! Paw popote ulipo tafadhali usithubutu kum ban klorokwini.Nikishakupigwa bani la maisha unazani nani atamoderate jukwaa la love connect?
klorokwini wewe ndie kibabu uliyemtisha swahiba angu Husninyo. Bisha niweke picha yako hapa!
Hahahaha! Rede na bi kidude???...lol, cheusi umenchekesha sana!..
Deskmate! challenge D inamuhusu Saint Ivuga , Saint ivuga na Mugabe wamepishana miezi saba tu, You are the next victim . Think! deskmate think.
Who is Saint Ivuga? hilo jina naliskia sana humu JF... :ranger:
could be a heart break my friend, sometimes watu wanakua na too much expectations
kuna mshkaji mmoja tulionana, akasema aisee, mimi nilijua utakua bonge la mtu umepiga nondo kichizi.... LOL, nikamwambia kwa upole tu kwamba hizo nondo na joni woka wapi na wapi??
We si unajifanya unajua kupotea?wewe nitakupiga na upande wa kanga
hahahaaaaaaaaaaaaaaaa..... you got me there buddySi ndio hapo Mkuu. Ukikata issue wapo watakaodhani umepiga nondo kichizi.
Wanasahau wapo waliopiga nondo lakini wanachoandika ni pumba.
Wengine hawana nondo; huchangia kwa busara na hekima tuu na wanasomeka.
We si unajifanya unajua kupotea?
Umepotea hadi nimekusahau sasa!
Mkuu wengine tumejifunza kwamba issue ikiwa serious usiisolve kwa userious, na pia tukajifunza kusolve issue kutokana na hobbies za muathirika. Huu uchakachuzi unaouona basi utaleta effect kubwa kwa husninyo kulikoni hizo sympathy za kiPHD PHD. Wengine tuliacha kuwa serious kwenye maisha tangia nyerere hajang'atuka.Maskini Husninyo.......... watu wameshaacha sympathy, wanadunda na uchakachuzi wa sredi,
kweli ukiona manyoya, ujue keshaliwa
Nipo nashangaa tu hapa... hivi tufanye nini Husninyo abaki?najua wewe ni mtu wa utani ..baba mwenye jiko asahauliwe tena..vipi mzima wewe lakini?
cheka kisukari.jf ina mambo.trust me,hizo challenge zimewakuta wengi tu.ila nashukuru sijawahi kukutana na mtu humu,na sitotaka kukutana na mtu humu.ni bora kubadilishana mawazo kwa maandishi tu,na si zaidi ya hapo,maana unaweza kutapeliwa na hujui mtu umtafute wapi.ila nashukuru nimejuana na mtu 1 tu humu,i see him as a brother,nikiwa na shida namuelezea shida yangu,ananishauri kama kaka.najua utaisoma hii.thank you brother.jambo jengine,nina amini kuna watu na heshima zao humu,na kuna watu wengine wana malengo mabaya kwa wenzao.nyie wenye malengo mabaya,mshindwe na mlegee.utapeli wenu uwe huko huko nje.pole husniyo.kuishi ni kujifunza
She didn't ask for sympathy. C'mon people!Maskini Husninyo.......... watu wameshaacha sympathy, wanadunda na uchakachuzi wa sredi,
kweli ukiona manyoya, ujue keshaliwa
Maskini Husninyo.......... watu wameshaacha sympathy, wanadunda na uchakachuzi wa sredi,
kweli ukiona manyoya, ujue keshaliwa
PAW alipigwa sahihi 70 akalazimika kujiuzulu, haujaskia?Nimesahau ujue! Paw popote ulipo tafadhali usithubutu kum ban klorokwini.
eeeh Mola jaalia michelle asitokee. amenha ha aa michele yuko wapi huyu anazo picha nyingo za klorokwini
Adui mwombee hungryha ha aha jamaa acha kuunguza picha