Chalz baba afanya gender humiliation live kwa wema sepetu

ao wawil wote wanatukanana tu
juzi wema kamchamba chalz na chalz nae kamchamba wema

haina haja ya kuangaika na watu km awa
staha ,busara nehiii..elimu zao ndo km yangu apa so wanayoyafanya ndo upeo wa mwisho wa fikra zao

kujiiingza kuanza kuwadiskus ni kujivunia heshima...WANAJUANA AO


wote ndo wale wale ...wema kamtusi bob junior sjui ..wamepelekana wap sjui wamesamahenana..matus kwao ndo salamu



WANAJUANA AO MUWAAACHE NA UPUUUZI WAO
 
Sasa wewe ulitaka asemeje?


Lyangalo, umesoma vizuri kweli wewe au umejibu tu. Waukweli ckidogo amesema Angeweza kusema tu kwamba hana mpango wa kurudiana na wema bila kutamka hayo matusi. Wewe unaludia tena kumuuliza ulitaka asemeje, ni kweli chaz baba hajatutendea haki sisi wanawake, japo kweli huyu mdogo wetu ana mambo yake. Lakini kwa kuwa Charles baba naye huo mfereji alishayanywa maji yake na yakakata kiu yake hakutakiwa kuyakashifu.
 
Let me refresh chalz baba statement, Wema kwangu ni sawa na daladala kila mwenye nauli anapanda na akifika kituo anachokwenda anashuka. ni malaya mbovu tu. PERIOD.
 
wacha wafu wazike wafu wao.............
Tujadili mstakabari wa taifa letu
 

Maneno ya busara sana haya toka kwa mwanamke tunayeweza kujivunia kwamba ni dada yetu, shangazi yetu, mama yetu, mke wetu n.k, n.k

Yani mumeo ana bahati sana kuwa na mke mwema na mwenye busara kiasi hiki ,hadi namuonea wivu!!:A S-rose:
 

Naunga mkono hoja zote isipokuwa moja tu...kwenye red.

Clouds FM inasikilizwa ulimwengu mzima? Over My Dead Body!
 
jamani ni chalz baba au ni diamond aliyemtusi wema????mbona u-turn wamesema ni diamond.....btw wema huu ndio mshahara wa kutembea na low life suckerz!!!!!

U-turn walidandia gari kwa mbele, kwa masikio yangu nilisikiliza hyo interview ilikuwa ya chalz baba na sio diamond
 

Mimi pia nilimsikiliza wema tena vizuri, lakini hakuna ambapo Wema alimuita chalz baba malaya....kwani kusema alikuwa anaandikwa kwa kutumia mgongo wa Wema ni tusi???? ki ukweli hata kama Wema angemtukana lakini kama binadamu mtashi hakupaswa kujibu kwa kumtukana. Kosa halirekebishwi kwa kufanya kosa kijana.
 

Watakapo jitambua haya mambo yataisha, udhalilishaji wa namna hii unatakiwa kufikishwa mbele ya sheria,watu wakianza kulipa damage ndipo wataanza kuchunga midomo yao.yeye amejuaje kama huyo dada ni malaya ina maana na yeye yuko hivyo.
 
aiseeee hata mie napinga hoja ya kumfananisha bibie sana Wema Sepetu na mama,dada, wala chochote cha kwangu cha kike, akiwemo mbwa wangu wa kike!maana ntakuwa nimekosewa heshima mno.

Ubaya ni kwamba Wema ni star kwa hiyo ya kwake yanaonekana zaidi, lakini kama ni tabia za kufanya hayo mambo watu kibao wamekubuhu ni vile tu hawawezi kuandikwa kama wema. tusimnyooshee binti wa watu kidole namna hii. Mungu hapendi na atatuhukumu kwa kuhukumu wenzetu.
 

Nitaomba unisaidie kamusi ya kiswahili fasaha ili nijifunze kiswahili vizuri. si unajua shule "no english no service" ticha alikuwa anatuadhibu tukizungumza kiswahili, matokeo yake nikawa nakuwa kimya tu kwani kiinglish kilikuwa mgogoro na kiswahili nacho ishu.
 
Naunga mkono hoja zote isipokuwa moja tu...kwenye red.

Clouds FM inasikilizwa ulimwengu mzima? Over My Dead Body!

Kama ulikuwa hujui leo nikupe taarifa tu, hii redio iko online so unaweza kui access karibu ulaya yote , mimi nshawahi kui access nikiwa nchi tofautitofauti kama nne hvi za ulaya.
 

Unachosikitika nini??,

Hayo ni ya wawili?

Tuwaachie ufea au sio ufea wanajuana wao!
 
Hivi hicho kipind cha leo tena c ndio mambo yao hayo!tujadil mamb ya msingi.
 

Acha koleo liitwe koleo, na sio kijiko kikubwa
 
lizzy kama ulikuwepo mi nilibahatika kumsikia wema pia cluods juzi akihojiwa juu ya chalz eeee bwana aliongea so wametukanana na wanajuana jana chalz alikuwa anamjibu wema alichoongea juzi
Huyo mwanamke yeye hua hawatukanagi hao wakaka???!
 
jamani ni chalz baba au ni diamond aliyemtusi wema????mbona u-turn wamesema ni diamond.....btw wema huu ndio mshahara wa kutembea na low life suckerz!!!!![/QUOTE]
Hapo kwenye Red bila shaka na yeye ni hivyo hivyo usishangae akiwa nao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…