Chalz baba afanya gender humiliation live kwa wema sepetu

Chalz baba afanya gender humiliation live kwa wema sepetu

Kama ulikuwa hujui leo nikupe taarifa tu, hii redio iko online so unaweza kui access karibu ulaya yote , mimi nshawahi kui access nikiwa nchi tofautitofauti kama nne hvi za ulaya.
Then inasikika na sio inasikilizwa....!Unless wewe ndo dunia nzima!
 
lizzy kama ulikuwepo mi nilibahatika kumsikia wema pia cluods juzi akihojiwa juu ya chalz eeee bwana aliongea so wametukanana na wanajuana jana chalz alikuwa anamjibu wema alichoongea juzi
Then ni ujinga kudiscuss eti sijui katusiwa...wameanzan wenyewe na watamalizana wenyewe!Kama wote sio wastaarabu sioni sababu ya kilicholetwa hapa....labda tubadilishe mada ku kwanini wapenzi wakiachana wanakashifiana!
 
Jamani kama ni issue ya gender sensitivity ninadhani ni jukumu la watanzania wote kulizingatia na si victims au waumizaji. Mimi nadhani kuna haja pia ya kukicondemn hata hicho kituo kilichorusha hayo mahojiano. maneno ya kashfa dhidi ya binadamu mwenzie si mazuri na pia si maadili katika jamii yetu kusikika yakitamkwa hadharani.....kwa nini wasiedit kwanza kabla hawajayarusha?? Lilikuwa ni jukumu lao kuwausia hao wahojiwa kuwa lugha kali za matusi na kashfa haziruhusiwi katika mahojiano haya fullstop.

Wether Wema au HBaba ni mfereji au bahari haituhusu sie wasikilizaji na wala hakuna aliye perfect katika maisha. tusi/ kashfa kwa Wema ni sawa na tusi kwa dada zetu, mama zetu, binti zetu au hata nyanya zetu na vile vile tusi/kashfa kwa Hbaba ni sawa na tusi/kashfa kwa baba zetu, kaka zetu, watoto wetu na hata waume zetu.

Tuwajibike
 
Hiyoo ni vita ya watu wawili wanao juana vizuri kabsaaa hivyo sisi tusiingiliee
 
ww Waukweli ckidog unatoa wapi jeuri ya kumnanga Chals Baba, je hujawahi muona Wema anavyodhalilisha wanaume alowahi juwa nao mahusiano? na jinsi anavyowapanga na akishawafilisi anakula kona. kumbuka mapenzi yanaumiza hivyo kumnanga huko kwa Cahals Baba mi naona poa tu.
 
ww Waukweli ckidog unatoa wapi jeuri ya kumnanga Chals Baba, je hujawahi muona Wema anavyodhalilisha wanaume alowahi juwa nao mahusiano? na jinsi anavyowapanga na akishawafilisi anakula kona. kumbuka mapenzi yanaumiza hivyo kumnanga huko kwa Cahals Baba mi naona poa tu.

Ndugu yangu Batale, mimi sijamnanga chalz baba, kwa hiyo yeye kwa sababu mapenzi yanaumiza atukane na kudhalilisha watu ovyo??? kilichoniumiza zaidi ni ile hali ya mtu kumchafua binadamu mwenzake live tena kwa maneno makali bila hata huruma. Hata ingekuwa wema ndo amemtukana chalz baba ningekemea pia. Ila kwa bahati nzuri nilimsikiliza wema wakati anahojiwa kuhusu mtizamo wake kuhusiana na kurudiana na chalz baba, ukweli wema hakutukana ila yeye alichosema ni kwamba chalz baba asimtumie wema kama ngazi ya yeye kuandikwa magazetini na si vinginevyo. Pia siku nyingine wema alipohojiwa kuhusu mwanamme anayejutia kuwa nae katika mahusiano hakutaja hata mmoja.

Hatuwezi kuruhusu watu wakaongea maneno kama yale kwenye public eti kwa sababu yanawahusu watu wawili. Basi wangetukanana vyumbani mwao na sio kwenye media. Mimi nitakemea mambo yote ya kuchafuana kwa nguvu zote, tena pale ambapo mwanamke anaonekana kudhalilishwa. Hata kama mtanipotezea poa tu.
 
Huyu msichana naye kazidi bana..kila siku kubadilisha wanaume..hivi haogopi ukimwi..she a typical groupie.
 
Wema is an embarassment, utadhani hakuzaliwa nabinadamu , kwa tunaongalia TV Emmanuel naamini kabisa huyu binti ana spirit ya mbwa. Pole kwa wazazi wake na jamii kwa ujumla ma feminists wakuiga haki za maisha ya wazungu ndio hao wanaojidai wote sawa, huyo mwanaume hajaadhirika ila huyo binti na takataka kabisa,nafahamu aliwahi kuenda na ndugu yake harusini sinza kwa usiku huo mmoja eneo asilolijua bado aliishia kutafutwa na huyo binamu yake mpaka akaondoka pasipo kujua kaenda kuinamishiwa wapi.
 
Alichosema Chalz Baba ndio lugha zao yeye na Wema sikutegemea kitu tofauti na hicho tujue tunaishi maisha tofauti na wengine ukienda uswahilini mama anamtukana mtoto kwa kujitusi na maisha yanaendelea kama kawa.
 
1. Chalz Baba inamuuma kuachwa na Wema akiwa either yeye Chalz bado anmpenda au hajamaliza kumtumia kama lengo lilikuwa kumtumia.
2. Chalz Baba ni mtu wa madem (Malaya), kwa hiyo kujisafisha mbele ya madem zake au anaowafatilia ni lazima asikike kwenye vyombo vya habari akiyasema aliyokuwa anayasema.
3. Possibly Chalz Baba kama walivyo wanaume wengi hawapendi kuona mtu anapita sehemu waliyopita wao (anafaidi utamu waliofaidi wao) hata kama walishaachana na mtu huyo, wanapenda kuona mtu waliyeachana anakosa mtu na ananyanyasika kwa kukosa mtu mwingine.
4. Chalz Baba anaitumia media kujisafisha kwa kutuambia kwamba alikosea alipoenda kwa Wema na anajutia kuwa naye; hata hivyo hii ni kutapatapa tu kwa sababu kipindi Chalz anamtokea Wema, tayari Wema alikuwa na skendo. So Chalz Baba ni malaya kama alivyo Wema ndio maana alipata hata courage ya kumpata.

NB: Wema anapenda sana kutukana kwenye media na siku ya mwisho inabackfire, nafikiri ajifunze kukaa kimya na kama anataka kitu iwe kimya kimya sio ya matangazo. Kuna mida itafika atakosa wa kumpokea kama asiobadilika mapema, tunawajua mamiss wengi wanakumbwa na kashfa lakini wanzishinda kwa kukwepa media.
 
Wema is an embarassment, utadhani hakuzaliwa nabinadamu , kwa tunaongalia TV Emmanuel naamini kabisa huyu binti ana spirit ya mbwa. Pole kwa wazazi wake na jamii kwa ujumla ma feminists wakuiga haki za maisha ya wazungu ndio hao wanaojidai wote sawa, huyo mwanaume hajaadhirika ila huyo binti na takataka kabisa,nafahamu aliwahi kuenda na ndugu yake harusini sinza kwa usiku huo mmoja eneo asilolijua bado aliishia kutafutwa na huyo binamu yake mpaka akaondoka pasipo kujua kaenda kuinamishiwa wapi.

Ndugu ninafikiri mtoa mada hapa ameitoa kulalamikia lugha zilizotumika kwa hawa wapenzi hakuileta hapa tumchambue wala kumtukana H baba wala Wema so pleasetambua kuwa si haki kuwasema watoto wa binadamu mwenzio kuwa ni an embarasment kwani we huna watoto? na kama huna hutokuwa nao?

unawezafikisha ujumbe wako vizuri pasipo kukashfu.
peace
 
jamani ni chalz baba au ni diamond aliyemtusi wema????mbona u-turn wamesema ni diamond.....btw wema huu ndio mshahara wa kutembea na low life suckerz!!!!!
<br />


Acha hizo wewe,Low Life is a relative term,mapenzi hayaangalii mambo hayo!! Hapo Issue ni kukosa Uadilifu kwa Wema kwa kuvuavua nguo hovyo ndiyo kunakoshusha heshima yake!!
It aint got nothing to do with the size of one's bank account!!
 
Sijaona cha gender humiliation ni kuaibishana kwenye media..Wacha wachambane, watanyamaza wakichoka!..Mijinga!
 
Mimi pia nilimsikiliza wema tena vizuri, lakini hakuna ambapo Wema alimuita chalz baba malaya....kwani kusema alikuwa anaandikwa kwa kutumia mgongo wa Wema ni tusi???? ki ukweli hata kama Wema angemtukana lakini kama binadamu mtashi hakupaswa kujibu kwa kumtukana. Kosa halirekebishwi kwa kufanya kosa kijana.
kuna members wameshacomment kwamba wote wawili sio watashi... we can even add bob junior na diamond

... if you only knew what our money do to these youngsters, you would feel bad and give it to people in need:smow:
 
Maneno ya busara sana haya toka kwa mwanamke tunayeweza kujivunia kwamba ni dada yetu, shangazi yetu, mama yetu, mke wetu n.k, n.k

Yani mumeo ana bahati sana kuwa na mke mwema na mwenye busara kiasi hiki ,hadi namuonea wivu!!:A S-rose:

NIPO TAYARI KUITwa NYAMBURA...unaasemaje?
 
Jamani mimi naandika hili nikiwa na machungu kutoka moyoni. Tarehe 19/05/2011 Chalz baba alihojiwa kuhusu tetesi za yeye kurudiana na Wema Sepetu, lakini majibu aliyojibu kwa kweli ilikuwa ni zaidi ya udhalilishwaji wa mwanamke (specifically Wema). Alisema eti Wema ni kama mfereji, daraja, malaya ambaye anajirahisha kwa wanaume ili aendeshe maisha yake kwani ni mvivu na hana bidii katika maisha. Na hivo kwa maneno hayo chalz baba akasema hawez kurudiana na malaya kama Wema.

Lengo la kuleta uzi huu si kwa ajili ya kumtetea Wema lakini kama a gender sensitive person chalz baba hakuwa sahihi kuongea maneno kama haya tena mazito kwenye chombo cha habari tena ambacho kinasikilizwa ulimwengu mzima. Baada ya yeye kumaliza shida zake ndo leo anamuona malaya?? kwani malaya anafanya hiyo tabia peke yake?? Ina maana hata yeye chalz baba inabidi aitwe hvo. Huyu mwanamume akumbuke kuwa na yeye ana mama, dada, na hata shangazi zake ambao ni wanawake na siku ya siku yanaweza kuwapata haya anayomfanyia wema leo. Je yakitokea kwa familia yake atafurahi??

Natoa wito kwa wanaume wooote kuweza kuepukana na udhalilishaji wa kijinsia kama huu ambao unaweza kuepukika. Angeweza kusema tu kwamba hana mpango wa kurudiana na wema bila kutamka hayo matusi.

Hakuna kama mama jamani, mwanamke yeyote ni mama. tuheshimianeni pamoja na kasoro tulizonazo.

MWISHO

Kama kawaida masharobaro wataniuliza source, source ni Clouds FM tar 19/5/2011 kipindi cha movie leo
Mtu anayejiheshimu muungwana hawezi kutamka upuuzi namna hiyo kwa mtu aliyekuwa rafiki yake. Hilo nisomo kwa wengine tuwe tunachuja maneno, tulinde saana ndimi zetu zitamke baraka si baraa. Tuwaheshimu pia kina mama na dada zetu, wao ni dhaifu lakini ni mama zetu, je angetukanwa mama yako ungefanyaje wewe. Jiulize kabla ya kuropoka. Tumuogope na Mungu pia. Tujiheshimu katika jamii inayotuzunguka.
 
Back
Top Bottom