Then inasikika na sio inasikilizwa....!Unless wewe ndo dunia nzima!Kama ulikuwa hujui leo nikupe taarifa tu, hii redio iko online so unaweza kui access karibu ulaya yote , mimi nshawahi kui access nikiwa nchi tofautitofauti kama nne hvi za ulaya.
Then ni ujinga kudiscuss eti sijui katusiwa...wameanzan wenyewe na watamalizana wenyewe!Kama wote sio wastaarabu sioni sababu ya kilicholetwa hapa....labda tubadilishe mada ku kwanini wapenzi wakiachana wanakashifiana!lizzy kama ulikuwepo mi nilibahatika kumsikia wema pia cluods juzi akihojiwa juu ya chalz eeee bwana aliongea so wametukanana na wanajuana jana chalz alikuwa anamjibu wema alichoongea juzi
Then inasikika na sio inasikilizwa....!Unless wewe ndo dunia nzima!
ww Waukweli ckidog unatoa wapi jeuri ya kumnanga Chals Baba, je hujawahi muona Wema anavyodhalilisha wanaume alowahi juwa nao mahusiano? na jinsi anavyowapanga na akishawafilisi anakula kona. kumbuka mapenzi yanaumiza hivyo kumnanga huko kwa Cahals Baba mi naona poa tu.
Wema is an embarassment, utadhani hakuzaliwa nabinadamu , kwa tunaongalia TV Emmanuel naamini kabisa huyu binti ana spirit ya mbwa. Pole kwa wazazi wake na jamii kwa ujumla ma feminists wakuiga haki za maisha ya wazungu ndio hao wanaojidai wote sawa, huyo mwanaume hajaadhirika ila huyo binti na takataka kabisa,nafahamu aliwahi kuenda na ndugu yake harusini sinza kwa usiku huo mmoja eneo asilolijua bado aliishia kutafutwa na huyo binamu yake mpaka akaondoka pasipo kujua kaenda kuinamishiwa wapi.
<br />jamani ni chalz baba au ni diamond aliyemtusi wema????mbona u-turn wamesema ni diamond.....btw wema huu ndio mshahara wa kutembea na low life suckerz!!!!!
<br />Then inasikika na sio inasikilizwa....!Unless wewe ndo dunia nzima!
kuna members wameshacomment kwamba wote wawili sio watashi... we can even add bob junior na diamondMimi pia nilimsikiliza wema tena vizuri, lakini hakuna ambapo Wema alimuita chalz baba malaya....kwani kusema alikuwa anaandikwa kwa kutumia mgongo wa Wema ni tusi???? ki ukweli hata kama Wema angemtukana lakini kama binadamu mtashi hakupaswa kujibu kwa kumtukana. Kosa halirekebishwi kwa kufanya kosa kijana.
Maneno ya busara sana haya toka kwa mwanamke tunayeweza kujivunia kwamba ni dada yetu, shangazi yetu, mama yetu, mke wetu n.k, n.k
Yani mumeo ana bahati sana kuwa na mke mwema na mwenye busara kiasi hiki ,hadi namuonea wivu!!:A S-rose:
Mtu anayejiheshimu muungwana hawezi kutamka upuuzi namna hiyo kwa mtu aliyekuwa rafiki yake. Hilo nisomo kwa wengine tuwe tunachuja maneno, tulinde saana ndimi zetu zitamke baraka si baraa. Tuwaheshimu pia kina mama na dada zetu, wao ni dhaifu lakini ni mama zetu, je angetukanwa mama yako ungefanyaje wewe. Jiulize kabla ya kuropoka. Tumuogope na Mungu pia. Tujiheshimu katika jamii inayotuzunguka.Jamani mimi naandika hili nikiwa na machungu kutoka moyoni. Tarehe 19/05/2011 Chalz baba alihojiwa kuhusu tetesi za yeye kurudiana na Wema Sepetu, lakini majibu aliyojibu kwa kweli ilikuwa ni zaidi ya udhalilishwaji wa mwanamke (specifically Wema). Alisema eti Wema ni kama mfereji, daraja, malaya ambaye anajirahisha kwa wanaume ili aendeshe maisha yake kwani ni mvivu na hana bidii katika maisha. Na hivo kwa maneno hayo chalz baba akasema hawez kurudiana na malaya kama Wema.
Lengo la kuleta uzi huu si kwa ajili ya kumtetea Wema lakini kama a gender sensitive person chalz baba hakuwa sahihi kuongea maneno kama haya tena mazito kwenye chombo cha habari tena ambacho kinasikilizwa ulimwengu mzima. Baada ya yeye kumaliza shida zake ndo leo anamuona malaya?? kwani malaya anafanya hiyo tabia peke yake?? Ina maana hata yeye chalz baba inabidi aitwe hvo. Huyu mwanamume akumbuke kuwa na yeye ana mama, dada, na hata shangazi zake ambao ni wanawake na siku ya siku yanaweza kuwapata haya anayomfanyia wema leo. Je yakitokea kwa familia yake atafurahi??
Natoa wito kwa wanaume wooote kuweza kuepukana na udhalilishaji wa kijinsia kama huu ambao unaweza kuepukika. Angeweza kusema tu kwamba hana mpango wa kurudiana na wema bila kutamka hayo matusi.
Hakuna kama mama jamani, mwanamke yeyote ni mama. tuheshimianeni pamoja na kasoro tulizonazo.
MWISHO
Kama kawaida masharobaro wataniuliza source, source ni Clouds FM tar 19/5/2011 kipindi cha movie leo