Chalz baba afanya gender humiliation live kwa wema sepetu

Sijaona cha gender humiliation ni kuaibishana kwenye media..Wacha wachambane, watanyamaza wakichoka!..Mijinga!
... let me try

wewe bj wewe kwanza we unajipendekeza tu ndio :argue: maana MP zako zote nimezirekodi :A S 100:baada ya posts zangu kuweka kweny loud speaker:nono:, ndio maana hata asprin nikamwambia unanirusha sana na posts na mie niko kazini nahangaikia jukwaa la wakubwa :frusty::A S-confused1::A S-omg::smash::crutch::A S-rap:

ukijibu tu:doh::doh::doh::doh: umenidhalilisha :nono:
 





hapo kwenye red kwa kweli huyo mwanaume hana akili....... na pia hana ustaarabu wala busara! Heri angenyamaza! maana kama ni ujinga walifanya pamoja..................
 
mkuu usipate taabu....mazungumzo ya wema link hii hapa ZAMARADI


 
Mi naona fair play tu... sijui kama ushakikuta chenyewe ndo kimekabidhiwa kiongee ...
 
wema wema!mhun mhun!jaman ebu tutumie akil,huyo chaz baba s mhun?na what abt wanaume wengne anaotembea nao hawajui kama ni mhun wakamwacha?hawana lolote hata kama dada wa watu anamakosa mnamsema sana.
 

Hahahah natamani kumsaidia BJ kujibu!!
 
mtajiju na umbea wenu huko, si twala bata tu mamtoni
 
Nafikiri aliyeanzisha thread hii nataka tuamini kua gender sensitive ni malaya kumwita Guadalupe. Mimi sina tatizo na hilo. Tatizo langu ni kufananisha mama zetu,dada zetu na wake zetu na Wema!!! khaaii sasa hii ndio gender humiliation yaani wanawake wote kuwafananisha na Wema! Wengine tumebahatika kupata wamama wenye miakili kama Nyerere.

Umenikumbusha ni wahudumu wa baa na wacheza show wa bendi za dansi pekee wanaoongoza kwa kulalamikia jamii kuikubali kazi zao na kuziona kama kazi zingine.Tofauti na walimu, madaktari ,wauguzi nk. Dah!! nimechoka nilichotaka kuunganisha hapa, nitamalizia siku nyingine.
 
Huyo mwanamke yeye hua hawatukanagi hao wakaka???!

Weee!!! anawatusi kama hana akili nzuri, siku moja alisema eti yule bwana yake wa zamani sijui ndo chalz baba! anachonga sana.. au alitaka yeye (huyo bwana yake) ndo awe na daimondi.

SOURCE: nilimsikia akihojiwa katika kipindi cha leo tena cha clouds fm
 


Sasa kama nae ndo wale wale huruma ya nini anaonewa?!Acha wachafuane mpaka siku watakayopata akili!
 

MTM, kwanza nimecheka sana kwa hii 'scenario'..:dance:
Ni hivii, kwa hasira nitakujibu kutokana na ulichoandika/kusema hivyo basi ngoma inakuwa droo au tit for tat..:A S angry::fencing:
Vinginevyo, nitakuwa kimya mana ni kitu kizuri sana japokuwa kigumu kwa wengi wetu. Ukimya unasaidia hata kama unaonekana f.a.l.a pia kunakatisha maneno maana hamna majibizano.
 




naamini unamaanisha chalz baba na sio h baba (ambaye pia ni msanii)

 
tatizo ukianzisha vita huwezi jua mwenzio atajibu mapigo kwa kutumia silaha gani.
wengine hujibu mapigo kwa kutumia silaha zinazofanana na ulizotumia wewe
na wengine huja moja kwa moja na silaha za maangamizi ili akumalize moja kwa moja.

sasa kama wema alianza kwa silaha za rasharasha naona mwenzie kaja na mbomu
yaliyobakia gongolamboto lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…