CHAMA AMESHATUA SIMBA MDA HUU

Manara alisema washakamilisha malipo yote kilichobaki ni kumtambulisha tu na kwa mzuka alionao anaona bora press afanyie insta maana kuwaalika watu wa media ni kama anachelewa

Huo ndio msimamo wetu sisi wananchi, tuna imani na msemaji wetu na tunasimamia kauli yake. Haiwezekani gharama zote zigharamiwe na club yetu halafu mchezaji akaenda kwa makolo vinginevyo tutaibua mjadala mpya kama ule wa morison na round hii tutafika mpaka FIFA
 
Huyu mtu aliondoka kwa mbwembwe ikiwa ni pamoja na kum-shake down Mo. Kumrudisha ni fedheha kwa simba. Kwanza mpira wake umeisha kwa kusugua benchi huko Berkanae. Hana tofauti na H. Makambo
 
mnatia huruma aisee...haya bora chama karudi masononeko yapungue maana timu imekuwa mbov mpk mnarudisha wachezaji
 
Huyu mtu aliondoka kwa mbwembwe ikiwa ni pamoja na kum-shake down Mo. Kumrudisha ni fedheha kwa simba. Kwanza mpira wake umeisha kwa kusugua benchi huko Berkanae. Hana tofauti na H. Makambo
Hawatakuelewa hapa, wao wanaamini Chama ndo mwarobaini wa matatizo ya Simba kama Yanga walivyojidanganya Makambo atawakomboa.
 
Mkuu, how valid is this issue ?

Mtoa uzi hapa amemtaja Kamwaga kama msemaji wa Simba.....

Kaweka picha ya jezi ambayo hatuitumii msimu huu...

Hayo mawili peke yake yananipa ukakasi mkubwa sana.

Labda kama unafahamu zaidi, naomba utujuze. Najua wewe ni mwanasimba sana.
 
Hamna habari kutoka chanzo sahihi hivyo jamaa ni wa kupuuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…