CHAMA AMESHATUA SIMBA MDA HUU

CHAMA AMESHATUA SIMBA MDA HUU

Sijui kwa nini..roho yangu bado haijalikubali hili,...nikikumbuka dhihaka alizoifanyia Simba baada ya kufanya vibaya mwanzoni!.... Anyway Cha msingi tuwe na kikosi imara chenye kuleta ushindi
 
Chama sio mzur kihivyo,hakuna kitakacho badilika.

Sasa simba itakuwa na wapoza mpira wawili chama na morrison tutegemee kudraw sana
 
Msemaji wa simba sc, bwana kamwaga amepost picha hii ya kiti katika page yake ya fb na kuandika 90% soon kitu kinachomaanisha anakwenda kusimamisha mitandao leo lakini inasemekama tayari chama yupo mjini hapa na leo anatangazwa kuwa mchezaji halali wa simba sc jioni ya leo,
Karibu sana clatous chama simbaView attachment 2046006View attachment 2046007

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Kwani manara si alituaminisha kuwa anaenda utopwinyo
 
Back
Top Bottom