CHAMA AMESHATUA SIMBA MDA HUU

CHAMA AMESHATUA SIMBA MDA HUU

Ifike wakati yanga waache huu ushamba wa kuchukua wachezaji kibao waliochuja kutoka timu moja, hii inashusha hadhi ligi yetu, sababu ukiiangalia yanga unaweza kudhani unacheza na As vita.
Liverpool ina wachezaji wangapi kutoka Southampton hakuna shida? kuna sheria ina zuia?
 
Tumekubaliana kwa hii SIMBA NI NZURI SANA, kwanini tusajili tena dirisha dogo tena namba ambazo kuna watu makini kama KANOUTE??
 
Msemaji wa simba sc, bwana kamwaga amepost picha hii ya kiti katika page yake ya fb na kuandika 90% soon kitu kinachomaanisha anakwenda kusimamisha mitandao leo lakini inasemekama tayari chama yupo mjini hapa na leo anatangazwa kuwa mchezaji halali wa simba sc jioni ya leo,
Karibu sana clatous chama simbaView attachment 2046006View attachment 2046007

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
Mtasajiri mpaka Mtakoma haisaidii kitu.Timu imeshachoka haina pumzi tena

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Chama ana nn cha ajabu/ dalili ya kuchujuka mchezaji yeyote kisoka ni hizi danadana hata hajacheza huko hata nusu msimu karudishwa

Back
Top Bottom