SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wakitoka kushikana manyonyo wanaropoka chochoteSi wanasema waliongea na wakala wake Chama? Yule Mhandisi Uchwara alithibitishha
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakitoka kushikana manyonyo wanaropoka chochoteSi wanasema waliongea na wakala wake Chama? Yule Mhandisi Uchwara alithibitishha
Inategemea na Falsafa ya timu mkuuNimepata bahati ya kuona clips za dk chache alizocheza akiwa na berkane, nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa chama ameshindwa kucheza Morocco kutokana na kiwango kibovu, ni mambo tu ya nje ya uwanja kwani sio mara ya kwanza aliwahi kusajiliwa Al ittihad ya misri na alivunja mkataba baada ya muda mchache hivyo hivyo. Kwamba ashindwe chama mwenye kila aina ya ufundi miguuni mwake aje kuweza mwana riadha tuisila kisinda. Viwango vyao hata hapa vilikuwa vinaonekana, chama ni bora kuliko kisinda hivyo ni upumbavu kusema kwamba chama hana kiwango cha kucheza Morocco.
Miongoni mwa wachezaji wa Simba wanaowindwa na timu zingine ni Thadeo Lwanga,Rali Bwalya.Tumekubaliana kwa hii SIMBA NI NZURI SANA, kwanini tusajili tena dirisha dogo tena namba ambazo kuna watu makini kama KANOUTE??
Kwanini mnamwonea sana Wawa ?Miongoni mwa wachezaji wa Simba wanaowindwa na timu zingine ni Thadeo Lwanga,Rali Bwalya.
Tetesi za watakao achwa dirisha dogo iwe kwa mkopo au vinginevyo ni Mkuu wa majeshi Pascal Wawa,Mugalu,Duncan Nyoni,Piter Banda.
Timu kusajili ni kawaida hata iwe imara kiasi gani bado timu inaweza kusajili.
Dancun na Peter kwa vile Luhende wa Kagera Sugar alikuwa na bei kubwa ?Miongoni mwa wachezaji wa Simba wanaowindwa na timu zingine ni Thadeo Lwanga,Rali Bwalya.

Wawa anastaafu.Kwanini mnamwonea sana Wawa ?
Kwa mpira mkubwa wote huo anaoupiga bado mnamwona hafai.
Wachezaji wa Kuheni wenye kiwango kibovu ni.
Mugalu
Anafuata Sackho
Anafuata Duncan Nyoni.
Hao watatu wanaweza ondoka au kutolewa kwa mkopo.
Kama anastaafu mwenyewe basi sawa.Wawa anastaafu.
Haswaaa!! 😁😁😁Kwakusema hivyo tu , tayari inaonyesha unavyomuogopa. Ungekaa kimya tusingejua kwamba unamuogopa
Mayele yule soft anaeruka ruka tu uwanjani. Nionyeshe maajabu yake mpaka sasa.Hatuwaogopi wapuuzi nyinyi!!! tuna kikosi kikali tukiongozwa na Fiston Mayare
km vile umepigwa na kitu kizito kichwani. Unahema kwa taaabu Sana. Kunywa maji mengi upumzike mkuu wangu.Mikia kweli akili ziko matakoni. Hivi kuna kazi mnafanya nyie vijana wa mikia?. Ni kama mnadanganywa hivi kwamba kuanzia asubuhi,usiku unalala unawaza simba tu. Hii ndio BREAKING NEWS utumbo huu?. Nimeona kichwa kikubwa BREKING NEWS. Moyo ukafanya paa na kufurahi kwa mbali kwamba labda nae mwingine amekufa tupumue kidogo. Nakutana na utumbo huu
Atatangazwa muda si mrefu ujao.Makolo katika ubora wao. Wachambuzi wamichongo wanaingia king mda si mrefu
Mkojo beseni.
Aaah Jama!!???Mayele yule soft anaeruka ruka tu uwanjani. Nionyeshe maajabu yake mpaka sasa.
Unajua kwenye usajili kuna wakati timu inaweza sajili mchezaji mzuri lakini uwanjani akabuma.Kama anastaafu mwenyewe basi sawa.
Basi wataondoka.
Wawa.
Kustaafu
Sackho.
hamna kitu hapo zaidi ya kuanguka anguka na kukimbila kimbia.
Mugalu.
Sio mfungaji ni mkabaji mabeki.
Duncan Nyoni.
Ana udambwi udambwi usiokuwa na manufaa kwa timu. hana kasi wala nguvu, hakabi kabisa.
Kagere
Ingawa bado anajitutumua na kujituma sana tatizo Umri umemtupa mkono.
Ndio tayari nimekunywa This is... mikiakm vile umepigwa na kitu kizito kichwani. Unahema kwa taaabu Sana. Kunywa maji mengi upumzike mkuu wangu.
Huu mchezo hauhitaji hasira!