zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,255
Makusu mundele unamjua?Utopwinyo wanajiharishia tuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makusu mundele unamjua?Utopwinyo wanajiharishia tuu...
Msukule umeshikwa tumbo la mharo ghafla ! Tye! Tye! Tye! Kama nakuona vile ulivyochuchumaa kwenye tundu la choo.Makolo katika ubora wao. Wachambuzi wamichongo wanaingia king mda si mrefu
Kwasababu ya hiyo breaking news kutoka fb. Kweli wewe ni mbumbumbuumeshikwa tumbo la mharo ghafla ! Tye! Tye! Tye! Kama nakuona vile ulivyochuchumaa kwenye tundu la choo.
Huyu mtu aliondoka kwa mbwembwe ikiwa ni pamoja na kum-shake down Mo. Kumrudisha ni fedheha kwa simba. Kwanza mpira wake umeisha kwa kusugua benchi huko Berkanae. Hana tofauti na H. MakamboMsemaji wa simba sc, bwana kamwaga amepost picha hii ya kiti katika page yake ya fb na kuandika 90% soon kitu kinachomaanisha anakwenda kusimamisha mitandao leo lakini inasemekama tayari chama yupo mjini hapa na leo anatangazwa kuwa mchezaji halali wa simba sc jioni ya leo,
Karibu sana clatous chama simbaView attachment 2046006View attachment 2046007
Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
mnatia huruma aisee...haya bora chama karudi masononeko yapungue maana timu imekuwa mbov mpk mnarudisha wachezajiMsemaji wa simba sc, bwana kamwaga amepost picha hii ya kiti katika page yake ya fb na kuandika 90% soon kitu kinachomaanisha anakwenda kusimamisha mitandao leo lakini inasemekama tayari chama yupo mjini hapa na leo anatangazwa kuwa mchezaji halali wa simba sc jioni ya leo,
Karibu sana clatous chama simbaView attachment 2046006View attachment 2046007
Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
wanasema msilete tena uboss kwenye insta page yake.GSM na Karia wanasemaje ?
Hawatakuelewa hapa, wao wanaamini Chama ndo mwarobaini wa matatizo ya Simba kama Yanga walivyojidanganya Makambo atawakomboa.Huyu mtu aliondoka kwa mbwembwe ikiwa ni pamoja na kum-shake down Mo. Kumrudisha ni fedheha kwa simba. Kwanza mpira wake umeisha kwa kusugua benchi huko Berkanae. Hana tofauti na H. Makambo
Mkuu, how valid is this issue ?Manara alisema washakamilisha malipo yote kilichobaki ni kumtambulisha tu na kwa mzuka alionao anaona bora press afanyie insta maana kuwaalika watu wa media ni kama anachelewa
Huo ndio msimamo wetu sisi wananchi, tuna imani na msemaji wetu na tunasimamia kauli yake. Haiwezekani gharama zote zigharamiwe na club yetu halafu mchezaji akaenda kwa makolo vinginevyo tutaibua mjadala mpya kama ule wa morison na round hii tutafika mpaka FIFA
Hamna habari kutoka chanzo sahihi hivyo jamaa ni wa kupuuzwaMkuu, how valid is this issue ?
Mtoa uzi hapa amemtaja Kamwaga kama msemaji wa Simba.....
Kaweka picha ya jezi ambayo hatuitumii msimu huu...
Hayo mawili peke yake yananipa ukakasi mkubwa sana.
Labda kama unafahamu zaidi, naomba utujuze. Najua wewe ni mwanasimba sana.
[emoji1787][emoji1787]Hatuwaogopi wapuuzi nyinyi!!! tuna kikosi kikali tukiongozwa na Fiston Mayare
Wakati tunawatoa as vita si alikuwepo.Bilb simba kucheza na vita msingemjuaMakusu mundele unamjua?
alikosana na mo sio simbaHuyu mtu aliondoka kwa mbwembwe ikiwa ni pamoja na kum-shake down Mo. Kumrudisha ni fedheha kwa simba. Kwanza mpira wake umeisha kwa kusugua benchi huko Berkanae. Hana tofauti na H. Makambo