Chama anaenda kuchukua nafasi ya nani Simba?

Chama anaenda kuchukua nafasi ya nani Simba?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Ukiangalia kwa jinsi Simba ya sasa inavyocheza, mfalme wa zamani wa timu hiyo Chama ambaye atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, je ni nani atampisha Chama kwenye kikosi cha kwanza? Vipi nafasi ya Pape Sakho haipo shakani kweli?
 
Kati ya Bwalya au Kibu atampisha mwamba wa Lusaka.

Minapendekeza Kibu abebwe kwenye gari akatupwe kigamboni kule Evic town Uto wamuokote awe mchezaji wao.pale Simba ni mzigo.
Huyo jamaa alikua bado hajafikisha hadhi yakuchezea simba.Simba ni kubwa sana akilini mwake kiasi chakumfanya akose utulivu.Analazimisha kuonyesha kua anaweza wakati uwezo wake ulikua bado haujafika.Asipogundua tatizo lake atapotea mapema sana simba.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Acha kujifanya huelewi mbumbumbu wewe huyo ni kusugua benchi mpaka atoke majipu mkndun
Vijana wa Kitanzania sijui mkoje. Huwezi kuandika bila matusi tena machafu kabisa? Nenda kwenye social media za Wakenya au Waganda, huwezi kukuta uchafu kama huu. Mtu anapinga lakini kwa hoja
. Sasa sijui tatizo ni lugha yetu ya Kiswahili au malezi. Watu kama wewe ndio mlisababisha hadi Samatta akatemwa na Aston Villa.
 
Huyo jamaa alikua bado hajafikisha hadhi yakuchezea simba.Simba ni kubwa sana akilini mwake kiasi chakumfanya akose utulivu.Analazimisha kuonyesha kua anaweza wakati uwezo wake ulikua bado haujafika.Asipogundua tatizo lake atapotea mapema sana simba.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kibu sio mbaya..nakwambia kibu atacheza Bwaliya..Banda..muhilu.. Morrison..watakaa benchi na Kibu atacheza..
Niwakumbushe ile mechi ya kirafiki na TP mazembe..Ni kibu pekee aliupiga mwingi..katazame Tena mechi hiyo utajua Kibu sio wa kawaida..Kuna siku utamuelewa..hata Sakho imechukua muda kueleweka..
 
Back
Top Bottom