Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Banda anacheza wapi?Anamtoa Bwaliya..yaani kule mbele Chama nyuma ya mshambuliaji wa mwisho..pembeni kulia Kuna kibu Denis na pembeni kushoto Sakho..mbele kagere/mugalu.
Acha kujifanya huelewi mbumbumbu wewe huyo ni kusugua benchi mpaka atoke majipu mkndun
Kama chama alivyosugua kule berkane na luiz anavyosugua benchi wakati mwenzao kisinda anapeta.Bwalya atakuwa msugua bench sana
Nyuma ya Mwigulu
wazee wa ramli mpoAnaweza kurudi na asiwe naa kiwango kama zamani
Kwani sasa hivi anacheza wapi?
Ni kocha wa wapi umeona anafanya usajili?Usajiri wa bodi huu sio wa kocha
Huyo jamaa alikua bado hajafikisha hadhi yakuchezea simba.Simba ni kubwa sana akilini mwake kiasi chakumfanya akose utulivu.Analazimisha kuonyesha kua anaweza wakati uwezo wake ulikua bado haujafika.Asipogundua tatizo lake atapotea mapema sana simba.Kati ya Bwalya au Kibu atampisha mwamba wa Lusaka.
Minapendekeza Kibu abebwe kwenye gari akatupwe kigamboni kule Evic town Uto wamuokote awe mchezaji wao.pale Simba ni mzigo.
Vijana wa Kitanzania sijui mkoje. Huwezi kuandika bila matusi tena machafu kabisa? Nenda kwenye social media za Wakenya au Waganda, huwezi kukuta uchafu kama huu. Mtu anapinga lakini kwa hojaAcha kujifanya huelewi mbumbumbu wewe huyo ni kusugua benchi mpaka atoke majipu mkndun
Banda bado..akichanganya Kama Sakho.. kibu atakaa benchi
Kibu sio mbaya..nakwambia kibu atacheza Bwaliya..Banda..muhilu.. Morrison..watakaa benchi na Kibu atacheza..Huyo jamaa alikua bado hajafikisha hadhi yakuchezea simba.Simba ni kubwa sana akilini mwake kiasi chakumfanya akose utulivu.Analazimisha kuonyesha kua anaweza wakati uwezo wake ulikua bado haujafika.Asipogundua tatizo lake atapotea mapema sana simba.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app