Chama aomba kuondoka Simba SC

Simba imepoteana sana, mbaka waje kukaa sawa itachukua mda sana. mbaka muda huu Simba tayari amesha poteza ubingwa wa next season.
Wewe rudi kwenu Burundi tu, Kiswahili gani hiki unaandika?
 
hajawaji kuwahi nao mpira makolo huwa yananunua mechi na kuloga na kupulizia sumu vyumba ndo maana ikaonekana anajua, hamna kitu pale
Utopolo mlikuja mkayashtukia yale maduka mkayatimua, nadhani karibu yote mmeshayaondoa!
 
Simba kama kawaida yao wanaona bora aende kokote duniani ila sio yanga![emoji3][emoji3][emoji3]
 
Simba imepoteana sana, mbaka waje kukaa sawa itachukua mda sana. mbaka muda huu Simba tayari amesha poteza ubingwa wa next season.
unajifunza kuandika au nyinyi ndo wale wanafunzi wa memkwa?
 
Isiwe amerubuniwa na Uto kwa mlango wa uani.
 
Simba imepoteana sana, mbaka waje kukaa sawa itachukua mda sana. mbaka muda huu Simba tayari amesha poteza ubingwa wa next season.
Imepoteana kivipi? Kwa Chama kuomba kuondoka au kwa Yanga kuchukua ubingwa mwaka huu? Lete hoja zinazo prove statement yako
 
Imepoteana kivipi? Kwa Chama kuomba kuondoka au kwa Yanga kuchukua ubingwa mwaka huu? Lete hoja zinazo prove statement yako
Kwasasa uwezi elewa subiri dirisha la usajili lifungwe ndio utanielewa. Ni ngumu kumwelewesha mshabiki wa Simba Kwa Sasa.
 
Hizi story mnazitoaga wapi
 
Chama sio mungu wa Simba SC, muhimu ieleweke hivyo, hata kuwepo Simba Sc milele iko siku lazima ataondoka, iwe kwa kustaafu au vinginevyo...

Kumsujudia mwanadamu mwenzako ni dhambi kwa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…