Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Ukiona Chama au selikali, huwa inatumia nguvu kubwa kupendwa basi jua kwamba imejaa madhaifu makubwa
Na ndiyo stairi inayotumi chama cha CCM na selikali yake, wamechoka hawana mbinu mbadala tena zaidi ya kutetea ujinga na matumbo yao,
Nauona mwisho mbaya kwa inchi ya Tanzania, sababu viongozi wake kwa makusudi wamekuwa wanachokifanya na wanachohubiri ni tofauti, huku wakijua hata usipowapigia kura watapita tu, kwa sababu ya udhaifu wa tume ya uchaguzi na jeshi la polisi ambavyo viko chini yao
Nauona uvumilivu ukiwa umekwisha kwa wananchi, wakiongozwa na viongozi wao wa dini,pamoja na utaifa yaani utanganyika na uzanzibari pamoja na udini, yaani vinaende kutuvurugia amani yetu yote, sababu ya urafi wa kundi fulani dogo sana la watawala, ambao wanajiona wana haki kwa kila wanachokifanya, kiwe kizuri au kibaya
Yanayokuja yanasikitisha