PreGE2025 Chama cha CCM hakina mgombea urais mpaka sasa kwani mchakato wa kumpata Samia haukuzingatia katiba ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Rais Samia ni mgombeaji batili wa uraisi kwa kupitia CCM mchakato wa kumpata mgombea huyo haukuwa wa kikatiba nimeshangaa nilipo msikia hivi karibuni anahamasisha mchakato wa kupata wabunge uwe wa haki inamaana haki hiyo yeye haimuhusu yupo juu ya katiba ya CCM kwamba uchaguzi utakuwa ni kwa wabunge tu kweli watu wa chama hicho ni vilaza sana.

Kuna ushahidi mkubwa kuwa Rais Samia ni mgombeaji batili, kikao kile kilichofanyika kwaajiri ya kumpitisha samia hakikufuata misingi ya katiba ya chama cha CCM na video za ushahidi zipo wazi kabisa.

Mwenyekiti wa CCM anahimiza haki kwenye mchakato wa wabunge wakati yeye hajafuata haki kwenye ugombeaji wa uraisi inamaana yeye yupo juu ya katiba. inaonesha ni jinsi gani watu walivyo vilaza kwenye chama hicho na mmeamua kuwa kama mabubu mnapaswa kumwambia ukweli mnapaswa kusema CCM haina mgombea halali mpaka sasa.
 
Mtungi hakutikisa hata kope kukemea hilo. Mtungi ni mdhibiti wa chadema tu
 
Inastaajabisha sana.
 
CCM Katiba kwao ni kijitabu hakina maana
 
MsajiliCCM hapo huwezi kumuona .

Na hata ile katiba yao ya kutaka majina yasiyopungua matatu huwezi kuwaona machawa wakihoji kwanini alisimama pekeyake.
 
Rais Samia ni mgombeaji batili wa uraisi kwa kupitia CCM mchakato wa kumpata mgombea huyo haukuwa wa kikatiba nimeshangaa nilipo msikia hivi karibuni anahamasisha mchakato wa kupata wabunge uwe wa haki inamaana haki hiyo yeye haimuhusu yupo juu ya katiba ya CCM kwamba uchaguzi utakuwa ni kwa wabunge tu kweli watu wa chama hicho ni vilaza sana.

Kuna ushahidi mkubwa kuwa Rais Samia ni mgombeaji batili, kikao kile kilichofanyika kwaajiri ya kumpitisha samia hakikufuata misingi ya katiba ya chama cha CCM na video za ushahidi zipo wazi kabisa.

Mwenyekiti wa CCM anahimiza haki kwenye mchakato wa wabunge wakati yeye hajafuata haki kwenye ugombeaji wa uraisi inamaana yeye yupo juu ya katiba. inaonesha ni jinsi gani watu walivyo vilaza kwenye chama hicho na mmeamua kuwa kama mabubu mnapaswa kumwambia ukweli mnapaswa kusema CCM haina mgombea halali mpaka sasa.
Yeye alisha jiteua. Mwanaume anayebisha ainue kidole kama anajikuna. Ccm ji laana ya taifa hili
 
Rais Samia ni mgombeaji batili wa uraisi kwa kupitia CCM mchakato wa kumpata mgombea huyo haukuwa wa kikatiba nimeshangaa nilipo msikia hivi karibuni anahamasisha mchakato wa kupata wabunge uwe wa haki inamaana haki hiyo yeye haimuhusu yupo juu ya katiba ya CCM kwamba uchaguzi utakuwa ni kwa wabunge tu kweli watu wa chama hicho ni vilaza sana.

Kuna ushahidi mkubwa kuwa Rais Samia ni mgombeaji batili, kikao kile kilichofanyika kwaajiri ya kumpitisha samia hakikufuata misingi ya katiba ya chama cha CCM na video za ushahidi zipo wazi kabisa.

Mwenyekiti wa CCM anahimiza haki kwenye mchakato wa wabunge wakati yeye hajafuata haki kwenye ugombeaji wa uraisi inamaana yeye yupo juu ya katiba. inaonesha ni jinsi gani watu walivyo vilaza kwenye chama hicho na mmeamua kuwa kama mabubu mnapaswa kumwambia ukweli mnapaswa kusema CCM haina mgombea halali mpaka sasa.
Naunga mkono hoja
 
Jaji Mutingu awamulike ccm pia na aache double standard
 
Back
Top Bottom