Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
hakuna fomu kwenye uraisiujumbe ufike
Mtungi hakutikisa hata kope kukemea hilo. Mtungi ni mdhibiti wa chadema tuRais Samia ni mgombeaji batili wa uraisi kwa kupitia CCM mchakato wa kumpata mgombea huyo haukuwa wa kikatiba nimeshangaa nilipo msikia hivi karibuni anahamasisha mchakato wa kupata wabunge uwe wa haki inamaana haki hiyo yeye haimuhusu yupo juu ya katiba ya CCM kwamba uchaguzi utakuwa ni kwa wabunge tu kweli watu wa chama hicho ni vilaza sana.
Kuna ushahidi mkubwa kuwa Rais Samia ni mgombeaji batili, kikao kile kilichofanyika kwaajiri ya kumpitisha samia hakikufuata misingi ya katiba ya chama cha CCM na video za ushahidi zipo wazi kabisa.
Mwenyekiti wa CCM anahimiza haki kwenye mchakato wa wabunge wakati yeye hajafuata haki kwenye ugombeaji wa uraisi inamaana yeye yupo juu ya katiba. inaonesha ni jinsi gani watu walivyo vilaza kwenye chama hicho na mmeamua kuwa kama mabubu mnapaswa kumwambia ukweli mnapaswa kusema CCM haina mgombea halali mpaka sasa.
Inastaajabisha sana.Rais Samia ni mgombeaji batili wa uraisi kwa kupitia CCM mchakato wa kumpata mgombea huyo haukuwa wa kikatiba nimeshangaa nilipo msikia hivi karibuni anahamasisha mchakato wa kupata wabunge uwe wa haki inamaana haki hiyo yeye haimuhusu yupo juu ya katiba ya CCM kwamba uchaguzi utakuwa ni kwa wabunge tu kweli watu wa chama hicho ni vilaza sana.
Kuna ushahidi mkubwa kuwa Rais Samia ni mgombeaji batili, kikao kile kilichofanyika kwaajiri ya kumpitisha samia hakikufuata misingi ya katiba ya chama cha CCM na video za ushahidi zipo wazi kabisa.
Mwenyekiti wa CCM anahimiza haki kwenye mchakato wa wabunge wakati yeye hajafuata haki kwenye ugombeaji wa uraisi inamaana yeye yupo juu ya katiba. inaonesha ni jinsi gani watu walivyo vilaza kwenye chama hicho na mmeamua kuwa kama mabubu mnapaswa kumwambia ukweli mnapaswa kusema CCM haina mgombea halali mpaka sasa.
Yeye alisha jiteua. Mwanaume anayebisha ainue kidole kama anajikuna. Ccm ji laana ya taifa hiliRais Samia ni mgombeaji batili wa uraisi kwa kupitia CCM mchakato wa kumpata mgombea huyo haukuwa wa kikatiba nimeshangaa nilipo msikia hivi karibuni anahamasisha mchakato wa kupata wabunge uwe wa haki inamaana haki hiyo yeye haimuhusu yupo juu ya katiba ya CCM kwamba uchaguzi utakuwa ni kwa wabunge tu kweli watu wa chama hicho ni vilaza sana.
Kuna ushahidi mkubwa kuwa Rais Samia ni mgombeaji batili, kikao kile kilichofanyika kwaajiri ya kumpitisha samia hakikufuata misingi ya katiba ya chama cha CCM na video za ushahidi zipo wazi kabisa.
Mwenyekiti wa CCM anahimiza haki kwenye mchakato wa wabunge wakati yeye hajafuata haki kwenye ugombeaji wa uraisi inamaana yeye yupo juu ya katiba. inaonesha ni jinsi gani watu walivyo vilaza kwenye chama hicho na mmeamua kuwa kama mabubu mnapaswa kumwambia ukweli mnapaswa kusema CCM haina mgombea halali mpaka sasa.
Naunga mkono hojaRais Samia ni mgombeaji batili wa uraisi kwa kupitia CCM mchakato wa kumpata mgombea huyo haukuwa wa kikatiba nimeshangaa nilipo msikia hivi karibuni anahamasisha mchakato wa kupata wabunge uwe wa haki inamaana haki hiyo yeye haimuhusu yupo juu ya katiba ya CCM kwamba uchaguzi utakuwa ni kwa wabunge tu kweli watu wa chama hicho ni vilaza sana.
Kuna ushahidi mkubwa kuwa Rais Samia ni mgombeaji batili, kikao kile kilichofanyika kwaajiri ya kumpitisha samia hakikufuata misingi ya katiba ya chama cha CCM na video za ushahidi zipo wazi kabisa.
Mwenyekiti wa CCM anahimiza haki kwenye mchakato wa wabunge wakati yeye hajafuata haki kwenye ugombeaji wa uraisi inamaana yeye yupo juu ya katiba. inaonesha ni jinsi gani watu walivyo vilaza kwenye chama hicho na mmeamua kuwa kama mabubu mnapaswa kumwambia ukweli mnapaswa kusema CCM haina mgombea halali mpaka sasa.
Jaji Mutingu awamulike ccm pia na aache double standardRais Samia ni mgombeaji batili wa uraisi kwa kupitia CCM mchakato wa kumpata mgombea huyo haukuwa wa kikatiba nimeshangaa nilipo msikia hivi karibuni anahamasisha mchakato wa kupata wabunge uwe wa haki inamaana haki hiyo yeye haimuhusu yupo juu ya katiba ya CCM kwamba uchaguzi utakuwa ni kwa wabunge tu kweli watu wa chama hicho ni vilaza sana.
Kuna ushahidi mkubwa kuwa Rais Samia ni mgombeaji batili, kikao kile kilichofanyika kwaajiri ya kumpitisha samia hakikufuata misingi ya katiba ya chama cha CCM na video za ushahidi zipo wazi kabisa.
Mwenyekiti wa CCM anahimiza haki kwenye mchakato wa wabunge wakati yeye hajafuata haki kwenye ugombeaji wa uraisi inamaana yeye yupo juu ya katiba. inaonesha ni jinsi gani watu walivyo vilaza kwenye chama hicho na mmeamua kuwa kama mabubu mnapaswa kumwambia ukweli mnapaswa kusema CCM haina mgombea halali mpaka sasa.
😀Wengine wataruhusiwa kuchuku fomu muda ukifika??