Chama cha CUF wananchi wilaya ya Kinondoni kufanya mkutano mkubwa wa hadhara Magomeni Februari 2, 2023

Wastage of time because they don't have any agenda instead they are assisting the ruling party to stay in power ...
 
CUF watafanya mkutano mkubwa!!!? Watu wa kuhudhuria huo mkutano wa CUF watatoka wapi wakati CUF ishakufa kitambo???
 
Lipumba ahamie tu kwenye kupiga mawaidha misikitini huku ameshachuja na mdomo wake unapepesa tonge mithili ya mamba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…