Chama cha kataa ndoa kidumu

Chama cha kataa ndoa kidumu

Heri wawili kuliko mmoja

Usipooa utaolewa
 
Sasa kama mwanaume amekosa akili ya kukaa na mke?oeni kataa ndoa nini
 
Sasa hapo ukatae ndoa kisa mume kilaza asietuliza dushe lake.

Huyo ni mpumbavu tu, hoja yako ni dhaifu sana.
NDOA 1 - KATAA NDOA 0
 
Kuoa ni very risk kwa karne ya leo,ya 50/50
Sishauri mtu kuoa
 
Kama Uzi unavyo jieleza! leo ndio nimejua nyumba zinaficha mengi . Leo nimeshuhudia ndoa iliyokuwa inatazamwa kama mfano hapa mtaani kwetu inaishia ukingoni.

Baada ya sokombingo kali kati ya mume na mke huku mwanamke huyo akijitoa maneno makali mbele ya watoto wa kuwazaa amesikika akihadithia wanawake wenzake kwa sauti ya juu, etc ni mwanaume gani asieridhika na K moja au anataka nibinuke kichwa chini K, juu ndiyo aridhike?

Vijana ambao mnatarajia kuingia kwenye ndoa fikirieni x 2

Ni vema kuishi peke yako
chama hiki cha KATAA NDOA inabidi tukisajili kabsaaaa mi mjumbe toka Moshi KLM

CC@VPN CC@Liverpool
 
Usikubali kushauriwa na mtu asiyejitosheleza kwa akili.

Ushauri wowote upime mara mbilimbili kabla ya kuufanyia kazi
 
Ndoa sio rahisi kwa navyoona watu lakin pia kuikataa sio salama pia.
Nawaza itakuaje usiku ujikunyate mwenyewe had uzeenii huna hata mtu wa karibu wa kuzeeka nae....
Pia malezi ya watoto kiholela bila ndoa sio poa
Hatukatai mahusiano ya mapenzi baina ya mwanamke na mwanaume,hatukatai malezi ya watoto chini ya wazazi wote wawili hayo yote yanaweza kufanyika bila ndoa. Tunachokataa ni ule mkataba wa kitapeli uliopewa jina la ndoa.
 
Back
Top Bottom