Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Tufikie hatua tuseme ukweli. CCM ndo chama pekee kimebaki ambacho kina mfumo unaoeleweka. Hivi vingine ni vya wapiga deal tu na ndo maana hawaaminiani hata wenyewe kwa wenyewe.
Angalia Chadema na Mbowe ni miaka mingapi wapo naye? Wanaamini bila yeye Chama kitakufa. Ndo maana wanakwambia hakuna wa kumtoa pale nafasini. Yaani hawamwamini mwingine yeyote isipokuwa Mbowe.
ACT ni chama cha Mfukoni cha Zitto kabwe. Naye pale ndo mpaka anakufa. Trust me. Maana ndo ameamua aendeshe NGO yake kwa style hiyo ya siasa.
Mimi nimeamua kurudi CCM tujenge nchi kwa mfumo imara. Chama ambacho hakiyumbi..hakitetereki. hakitegemei mtu mmoja.