Chama cha kisiasa kimebaki kimoja tu kwa sasa. Tuambiane ukweli bila woga

Tufikie hatua tuseme ukweli. CCM ndo chama pekee kimebaki ambacho kina mfumo unaoeleweka. Hivi vingine ni vya wapiga deal tu na ndo maana hawaaminiani hata wenyewe kwa wenyewe.

Angalia Chadema na Mbowe ni miaka mingapi wapo naye? Wanaamini bila yeye Chama kitakufa. Ndo maana wanakwambia hakuna wa kumtoa pale nafasini. Yaani hawamwamini mwingine yeyote isipokuwa Mbowe.

ACT ni chama cha Mfukoni cha Zitto kabwe. Naye pale ndo mpaka anakufa. Trust me. Maana ndo ameamua aendeshe NGO yake kwa style hiyo ya siasa.

Mimi nimeamua kurudi CCM tujenge nchi kwa mfumo imara. Chama ambacho hakiyumbi..hakitetereki. hakitegemei mtu mmoja.
CCM INAOGOPA MIKUTANO
CCM INATEGEMEA POLISI
CCM INANUNUA WAPINZANI
CCM INAOGOPA KATIBA MPYA
CCM IMESHINDWA KUINUA UCHUMA NCHI IMERUDI KWENYE UMASIKINI WAKE
CCM INAUA INAFUNGA RAIA WAKE KISA KUKOSOLEWA
 
Mbowe kile chama ni Cha baba mkwe, alipewa mke na chama, msitarajie hicho chama kitaondoka nje ya familia ya Mbowe, bado wanajilipa Hela walizotumia.

Hawajengi Ofisi kwa kuwa baba mkwe wa Mbowe ndiye kawapangisha Ofisi ya UFIPA, ruzuku kwa asilimia kubwa inalipia jengo la UFIPA.

Ofisi ya chadema UFIPA ilikuwa ikitumika kama gesti, na Kuna watu waliwahi kupiga mechi katika chumba ambacho Sasa ni Ofisi ya Mwenyekiti Mbowe

Acha uongo, Mbowe alipokea chama kutoka kwa Bob Makani. Halafu ulikuwa uchaguzi ulikuwa mkali, sio kwamba alipewa kwenye sahani.
 
Tufikie hatua tuseme ukweli. CCM ndo chama pekee kimebaki ambacho kina mfumo unaoeleweka. Hivi vingine ni vya wapiga deal tu na ndo maana hawaaminiani hata wenyewe kwa wenyewe.

Angalia Chadema na Mbowe ni miaka mingapi wapo naye? Wanaamini bila yeye Chama kitakufa. Ndo maana wanakwambia hakuna wa kumtoa pale nafasini. Yaani hawamwamini mwingine yeyote isipokuwa Mbowe.

ACT ni chama cha Mfukoni cha Zitto kabwe. Naye pale ndo mpaka anakufa. Trust me. Maana ndo ameamua aendeshe NGO yake kwa style hiyo ya siasa.

Mimi nimeamua kurudi CCM tujenge nchi kwa mfumo imara. Chama ambacho hakiyumbi..hakitetereki. hakitegemei mtu mmoja.

1. Kwanza, tuvipongeze vyama vya upinzani na Viongozi wao kwa kutunza amani ya nchi, hasa CHADEMA. Wametendewa maudhi mengi lakini wamekuwa wanyenyekevu mpaka wanachama na mashibiki wao wakaanza kuwaona wasaliti, kumbe wameweka interest za chama juu. Wameitwa magaidi na kufunguliwa kesi lakini wamesamehe . Kuna Viongozi wamepotea , kuuawa na kupigwa risasi ila wamesamehe. Hebu uwe na Roho ya kushukuru hata kwa kidogo.

2. Pili, vyama vya upinzani vinafanya kazi kwenye mazingira magumu. Ambapo uwanja haupo fair. CCM inaadvatage ya kumiliki serikali na dola ya serikali. Ndio maana Katibu mkuu wa CCM anaweza kufanya siasa bila kubugudhiwa na polisi . Na hata kufanya mikutano ya hadhara. Ila vyama vya upinzani, hasa CHADEMA Hilo halipo. Juzi Mnyika kazuiliwa na polisi njiani eti asiwe na Msafara, na mambo kadhaa.

3. Tatu, vyama vya upinzani havipo active kwa sababu vimezuiliwa kufanya mikutano ya hadhara kwa miaka Saba Sasa. Utakuwa mwehu kuvilaumu vyama ambavyo havijaruhusiwa kufanya siasa kwa miaka Saba na kukipongeza chama kilichopata nafasi ya kujitangaza na kufanya siasa kwa miaka Saba?. You will be an idiot.

4. Kuhusu kukaa madarakani kwa Viongozi wa upinzani nadhani umesahau kwamba Mwenyekiti wa kwanza wa CCM alikaa madarakani kwa muda wa miaka 30. Sababu ikiwa wanachama waliona aendelee kwanza kabla ya kuleta mwingine. Maana wengi walikulia kwenye uongozi wa mwl Nyerere. Hivyo Mbowe kuwa madarakani muda mrefu sio kweli.

5. Tano, Pia, Punguza uongo, Mbowe amepokea chama kutoka kwa Bob Makani na sio Mtei. Mtei alikuwa ameshastaafu zamani sana. Na hakutokea from nowhere bali alikuwa Mwenyekiti wa vijana CHADEMA BAVICHA. Mbowe amepokea chama Mwaka 2004 kutoka kwa Bob Makani na kuleta mageuzi makubwa, kukitoa CHADEMA Kama chama kidogo Cha upinzani kuwa chama kikuu Cha upinzani.
 
Tufikie hatua tuseme ukweli. CCM ndo chama pekee kimebaki ambacho kina mfumo unaoeleweka. Hivi vingine ni vya wapiga deal tu na ndo maana hawaaminiani hata wenyewe kwa wenyewe.

Angalia Chadema na Mbowe ni miaka mingapi wapo naye? Wanaamini bila yeye Chama kitakufa. Ndo maana wanakwambia hakuna wa kumtoa pale nafasini. Yaani hawamwamini mwingine yeyote isipokuwa Mbowe.

ACT ni chama cha Mfukoni cha Zitto kabwe. Naye pale ndo mpaka anakufa. Trust me. Maana ndo ameamua aendeshe NGO yake kwa style hiyo ya siasa.

Mimi nimeamua kurudi CCM tujenge nchi kwa mfumo imara. Chama ambacho hakiyumbi..hakitetereki. hakitegemei mtu mmoja.
endelea kulamba miguu ya mamayenun huko lumumba majiz ya kura.
 
Mbowe kile chama ni Cha baba mkwe, alipewa mke na chama, msitarajie hicho chama kitaondoka nje ya familia ya Mbowe, bado wanajilipa Hela walizotumia.

Hawajengi Ofisi kwa kuwa baba mkwe wa Mbowe ndiye kawapangisha Ofisi ya UFIPA, ruzuku kwa asilimia kubwa inalipia jengo la UFIPA.

Ofisi ya chadema UFIPA ilikuwa ikitumika kama gesti, na Kuna watu waliwahi kupiga mechi katika chumba ambacho Sasa ni Ofisi ya Mwenyekiti Mbowe
wewe vipi umeolewa lumumba na wamekupa kaz ya kuleta ujinga mtandaoni
 
Na tofauti kubwa ya CCM na Vyama vya kudandia matukio na msimu Ni kwamba ndani ya CCM Kuna Demokrasia ya Makundi ila mwisho wa.siku wanakuwa wamoja..

Kule kwingine unafukuzwa 😂😂 ,Sasa unauliza hicho Ni chama au genge la wajinga?
Tufikie hatua tuseme ukweli. CCM ndo chama pekee kimebaki ambacho kina mfumo unaoeleweka. Hivi vingine ni vya wapiga deal tu na ndo maana hawaaminiani hata wenyewe kwa wenyewe.

Angalia Chadema na Mbowe ni miaka mingapi wapo naye? Wanaamini bila yeye Chama kitakufa. Ndo maana wanakwambia hakuna wa kumtoa pale nafasini. Yaani hawamwamini mwingine yeyote isipokuwa Mbowe.

ACT ni chama cha Mfukoni cha Zitto kabwe. Naye pale ndo mpaka anakufa. Trust me. Maana ndo ameamua aendeshe NGO yake kwa style hiyo ya siasa.

Mimi nimeamua kurudi CCM tujenge nchi kwa mfumo imara. Chama ambacho hakiyumbi..hakitetereki. hakitegemei mtu mmoja.
 
Tufikie hatua tuseme ukweli. CCM ndo chama pekee kimebaki ambacho kina mfumo unaoeleweka. Hivi vingine ni vya wapiga deal tu na ndo maana hawaaminiani hata wenyewe kwa wenyewe.

Angalia Chadema na Mbowe ni miaka mingapi wapo naye? Wanaamini bila yeye Chama kitakufa. Ndo maana wanakwambia hakuna wa kumtoa pale nafasini. Yaani hawamwamini mwingine yeyote isipokuwa Mbowe.

ACT ni chama cha Mfukoni cha Zitto kabwe. Naye pale ndo mpaka anakufa. Trust me. Maana ndo ameamua aendeshe NGO yake kwa style hiyo ya siasa.

Mimi nimeamua kurudi CCM tujenge nchi kwa mfumo imara. Chama ambacho hakiyumbi..hakitetereki. hakitegemei mtu mmoja.
Wewe mwenda kuzimu pigia kelele huduma muhim za kijamii kama umeme na maji ambavyo chini ya CCM ni anasa. Shenzy sana
 
1668680955469.png
 
Duh!

Ni mjinga tu ndio anaamini CCM haitegemei Mtu mmoja

CCM inamtegemea Rais wa JMT na ndiyo sababu akiapishwa tu unaitishwa Mkutano Mkuu anapewa Uenyekiti
It's better Rais anabadilika what about MBOWE?.. ZITTO, LIPUMBA?..
 
Tufikie hatua tuseme ukweli. CCM ndo chama pekee kimebaki ambacho kina mfumo unaoeleweka. Hivi vingine ni vya wapiga deal tu na ndo maana hawaaminiani hata wenyewe kwa wenyewe.

Angalia Chadema na Mbowe ni miaka mingapi wapo naye? Wanaamini bila yeye Chama kitakufa. Ndo maana wanakwambia hakuna wa kumtoa pale nafasini. Yaani hawamwamini mwingine yeyote isipokuwa Mbowe.

ACT ni chama cha Mfukoni cha Zitto kabwe. Naye pale ndo mpaka anakufa. Trust me. Maana ndo ameamua aendeshe NGO yake kwa style hiyo ya siasa.

Mimi nimeamua kurudi CCM tujenge nchi kwa mfumo imara. Chama ambacho hakiyumbi..hakitetereki. hakitegemei mtu mmoja.
CCM sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa.
 
Tufikie hatua tuseme ukweli. CCM ndo chama pekee kimebaki ambacho kina mfumo unaoeleweka. Hivi vingine ni vya wapiga deal tu na ndo maana hawaaminiani hata wenyewe kwa wenyewe.

Angalia Chadema na Mbowe ni miaka mingapi wapo naye? Wanaamini bila yeye Chama kitakufa. Ndo maana wanakwambia hakuna wa kumtoa pale nafasini. Yaani hawamwamini mwingine yeyote isipokuwa Mbowe.

ACT ni chama cha Mfukoni cha Zitto kabwe. Naye pale ndo mpaka anakufa. Trust me. Maana ndo ameamua aendeshe NGO yake kwa style hiyo ya siasa.

Mimi nimeamua kurudi CCM tujenge nchi kwa mfumo imara. Chama ambacho hakiyumbi..hakitetereki. hakitegemei mtu mmoja.
Komeo la Chuma vipi umeona report ya CAG wanaoiba fedha za umma ni Chadema? au serikali ya CCM, je sera za chama pendwa ni wizi na dili? Tujitafakari na kuacha kuropoka
 
Back
Top Bottom