Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Baba mkwe wa Mbowe ndio kawapangisha Chadema pale Ufipa st?!!Mbowe kile chama ni Cha baba mkwe, alipewa mke na chama, msitarajie hicho chama kitaondoka nje ya familia ya Mbowe, bado wanajilipa Hela walizotumia.
Hawajengi Ofisi kwa kuwa baba mkwe wa Mbowe ndiye kawapangisha Ofisi ya UFIPA, ruzuku kwa asilimia kubwa inalipia jengo la UFIPA.
Ofisi ya chadema UFIPA ilikuwa ikitumika kama gesti, na Kuna watu waliwahi kupiga mechi katika chumba ambacho Sasa ni Ofisi ya Mwenyekiti Mbowe
Mkamba alipigania uhuru upi, Kikwete alipigania uhuru upi,Nauwe alipigania uhuru upi, Mwinyi je?Sure wapigania uhuru wana watoto wao pia wana damu zao. So ni jambo jema pia.
NdioBaba mkwe wa Mbowe ndio kawapangisha Chadema pale Ufipa st?!!
Kweli wewe kinembe original!
kwa umri wa chadema, Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti ni sahihi kabisa. Hata Nyerere alianza kuwa Mwenyekiti wa chama cha TANU kisha ccm kuanzia July 7, 1954 hadi mwaka 1987 au 1992 alipomwachia Mwinyi tena kwa shinikizo.Tufikie hatua tuseme ukweli. CCM ndo chama pekee kimebaki ambacho kina mfumo unaoeleweka. Hivi vingine ni vya wapiga deal tu na ndo maana hawaaminiani hata wenyewe kwa wenyewe...
Hahaha.......hiyo ni muhimu sana anzishia Uzi wake!
nchi ya vituko