Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 5,668
- 9,806
Karibu ZenjiNimekukumbuka mkuu, ebu tuwasiliane tuyajenge. Mwenzio nipo zenj.
Karibu ZenjiNimekukumbuka mkuu, ebu tuwasiliane tuyajenge. Mwenzio nipo zenj.
Ataenda kutibiwa hospitali za jeshiTraffic ubabe wake barabarani na Daktari akija huyo traffic hospital muoneshe ubabe wako wa sindano ya sumu tu🤣🤣
Kumpiga mtu ambaye wameshamkamata napo ni kujichukulia sheria mikononiHakika japo walinibonda kituoni😄
Sio rahisiTraffic ubabe wake barabarani na Daktari akija huyo traffic hospital muoneshe ubabe wako wa sindano ya sumu tu🤣🤣
Ulilipa wewe au mzeeMimi pia nililipa laki 4 lakini nilimgonga jeshi wakati naendesha gari ya mzee nikiwa na miaka 15. Kwa uoga wangu sikuwa na leseni nikakimbiza gari mpaka home.
Mjeda kufika akaelezea kilicho tokea mzee akamwita dereva na kumwabia ajifanye yeye ndie alie mgonga. Mjeda alipewa hio hela na baadae kulipiwa deni lake la hospital.
Tunataka tuone power ya kila upande, maana huu ushakua mtanange...😜Mtenda na mtendewa wote ni watumishi wa umma sasa sijui itakuaje
Chagua upande sasaTunataka tuone power ya kila upande, maana huu ushakua mtanange...😜
Don't try this at home.Kwa jinsi wamempiga wakageuza eti wananchi wenye hasira kali ndo wamempiga, inamaana huyo traffic angekuwa na bunduki angembutua na wakasema ameua jambazi! Ila mbona nchi zingine hao askarli wanapigwa tu tena wameshikilia bunduki wanakunjana na wanachi ila hawawaui?
Nimekukumbuka mkuu, ebu tuwasiliane tuyajenge. Mwenzio nipo zenj.
Kumpiga mtu ambaye wameshamkamata napo ni kujichukulia sheria mikononi
Mtaani wanakwambiaMtenda na mtendewa wote ni watumishi wa umma sasa sijui itakuaje
Aisee😢😅Mtaani wanakwambia
Shamba la Bwana Heri na Mbuzi wa Bwana Heri...
Basi yote Heri😁
Nimekuchagua wewe...😋Chagua upande sasa
Mi nachojua akili hunaNimekuchagua wewe...😋
Hii itakuwa ni zaidi ya vita ya Ukraine na RussiaMtenda na mtendewa wote ni watumishi wa umma sasa sijui itakuaje
Huyu atakuwa muhaya au mhangazaHuyu mhutu kabisa intarahamwe
Uliondoka nazo wewe...😜Mi nachojua akili huna