Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Sijui nisimame na nani katika hili sakata?Rostam kasema kweli Tanganyika hakuna mahakama
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui nisimame na nani katika hili sakata?Rostam kasema kweli Tanganyika hakuna mahakama
Asipothibitisha kwa hiyo itakuwa alidanganya?Athibitishe sasa
Siyo yanguManeno ya baba wa Taifa.
Mmmm Mm mbona watu wanawekana tuuu .....unatoa offer yako wakubwa wanakupambaniaMkuu kamwekaje Mwanasheria Mkuu!?
Bora hata wasingepiga mkwara huo sasaHawajasema hapo
AmesandaSiyo kama tunachochea, ila ngoja tuone kama wanamuweza...
Mbona kasanda kirahisi sana?Rostam sio Fala hata kidogo anajua anawamudu ndio maana kasema hivyo...hawamuwezi..
Period.
Imekua vice versa na ulichoandika1. Asipotaja kama wanavyotaka watamfanyaje?
2. Asipoomba radhi baada ya kutomtaja watamfanya nini?
Hao majaji na chama chao kwa hili tamko lao inaonyesha wanamuogopa, kumfanya chochote hawawezi kisheria la sivyo wangeanisha na hatua ambazo wanaweza kumchukulia kwa kunukuu vifungu vya sheria!
Tamko lao ni useless, Rostam ikibidi arudi tena kwenye media aseme hili tamko ni "professional rubbish" na siyo kuomba radhi!
Imekua vice versa na ulichoandika
tafuta hela bro hata wewe unaweza kuwaShutuma angetoa Dula Makabila angefunguliwa kesi moja kwa moja
Katoboa alafu wamekuja km mbogo wanajifanya hawajuindio maana anayajua ya ndani sana!
😆😆😆😝Sasa ngoja tukamtikise nyuma ya pazia huko, alitaka kulia anaenda kulia kweli!!
Sema safari hii hiyo mihimili itajitafakari upya kwenye utendaji wake, Kama kweli walikua na hiyo michezo michafu, waache Mara moja na watubu kwa mola wao!!Mwaka huu mihimili inaipata fresh.
Spinning, Kuna mada nyingi zitaanzishwa kutolewa mchezoni.Barua yao(kama kweli yao) haina sahihi. Wanaogopa nini kuweka sahihi tu?