Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Hiki chama cha Majaji na mahakimu ni chama cha KINAFIKI sana. Alichosema Rostam ndio ukweliRostam akathibitishe ukweli kwenye vyombo vinavyotumika kupindisha ukweli? Alichosema Rostam ni ukweli wa wazi.
1. JPM aliposema Serikali ni mhimili uliochimbia chini zaidi , mbona hatukuwasikia hawa Majaji na Mahakimu
2. Kiongozi wao aliposema ' maamuzi yazingatie mihimili mingine' mbona hatukuwasikia
3. JPM alipotunga sheria za kudidimiza haki za watu mbona hatukuwasikia
4. Kesi za watu zina miaka 10 kama zile za Masheikh wakinyimwa haki za kusikiliza, mbona hatukuwasikia
5. JPM alipofanya upuuzi wa plea bargain ikiwa ni dhuluma mbona hatukuwasikia
6. Jaji Mugasha alipotoa angalizo la CJ kuongezewa muda , mbona hatujasikia msimamo wao
Hawa ni wanafiki tu wanaotaka kusikika wateuliwe katika bodi za mashirika na taasisi. Hawa hawana interest na nchi.
JokaKuu Pascal Mayalla