Chama cha Mapinduzi champongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia

Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
Kazi kubwa na liyotukuka hii,
 
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
Nzuri sana hii
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza na kumshukuru amiri Jeshi mkuu na Rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa Uzalendo wake kwa Taifa, Ushupavu na Ujasiri...
CCM NDIO CHAMA DUNIA INAJUA
 
Vizuri sana CCM
 
Kazi iendelee
 
Kazi iendelee
 
Kumbe hata maana ya neno demokrasia ni shida kwa hawa chawa! disgusting?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…