Tajiri la Bitcoin
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 1,139
- 707
Shaka ni mtu na nusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Sana chama changu cha CCM ,
Chama kinafanya kazi nzuri sana ya kuongoza serikali,
Chama kinamshauri Rais mambo yenye manufaa kwa Taifa,
Hongera CCM, Hongera Rais Samia
Mwezetu CM 1774857 maisha yako mazuri sana.Unanyuzi zaidi ya tano wiki hii za kusifia wakati wezako maisha tight.Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza na kumshukuru amiri Jeshi mkuu na Rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa Uzalendo wake kwa Taifa, Ushupavu na Ujasiri katika kulinda na kusimamia "Tunu za Taifa" letu kwa nguvu zake zote kwa akili zake zote na kwa moyo wake wote huku msingi mkuu wa yote haya ukiwa ni kuwaletea wananchi hawa masikini maendeleo endelevu.
Pamoja na hilo,Chama cha Mapinduzi pia kimempongeza na kumsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuwathamani watumishi wa umma nchini ikiwa ni baada ya zaidi ya watumishi 180,000 kupandishwa vyeo (kuongezwa mishahara) na Wale wote wanaodaiwa mikopo ya bodi (HESLB) ambao kila mwezi walikatwa 15% ya Mshahara wao Mhe Samia Suluhu Hassan kawaondolea hiyo Value Retention Fee (VRF) ambayo ilikuwa ni 6% nakuwafanya wakatwe 9% tu kwa mwezi hivi leo.
Chama cha mapinduzi kimempongeza pia Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupunguza kodi ya Mishahara kwa watumishi wote wa Umma na binafsi yaani (PAYE) kutoka 9% ya awali hadi 8% hii yote ni nia ya Serikali ya CCM katika kuwaletea wananchi wake maendeleo endelevu.
Chama kimempongeza zaidi Rais Samia Suluhu Hassan katika kusimamia Utawala wa Sheria na Utawala bora, Haki za kibinadamu, Ukuzaji mkubwa wa demokrasia ya vyama vingi nchini, kujenga inchi isiyoyegemea itikadi ya dini|kabila|kanda yeyote na kuufurusha kila aina ya Ufisadi na Rushwa nchi.
Haya yamesemwa na Katibu wa Nec Itikadi na Uenezi CCM Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka alipokuwa akiongea na Wanahabari Ofisi ndogo ya Lumumba Jijini Dar es Salaam.
CCM chama
Huyu Crde mbona simuoni kitambo hapo JF?Mwezetu CM 1774857 maisha yako mazuri sana.Unanyuzi zaidi ya tano wiki hii za kusifia wakati wezako maisha tight.
Kaziiendelee TanzaniaChama cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza na kumshukuru amiri Jeshi mkuu na Rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa Uzalendo wake kwa Taifa, Ushupavu na Ujasiri katika kulinda na kusimamia "Tunu za Taifa" letu kwa nguvu zake zote kwa akili zake zote na kwa moyo wake wote huku msingi mkuu wa yote haya ukiwa ni kuwaletea wananchi hawa masikini maendeleo endelevu.
Pamoja na hilo,Chama cha Mapinduzi pia kimempongeza na kumsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuwathamani watumishi wa umma nchini ikiwa ni baada ya zaidi ya watumishi 180,000 kupandishwa vyeo (kuongezwa mishahara) na Wale wote wanaodaiwa mikopo ya bodi (HESLB) ambao kila mwezi walikatwa 15% ya Mshahara wao Mhe Samia Suluhu Hassan kawaondolea hiyo Value Retention Fee (VRF) ambayo ilikuwa ni 6% nakuwafanya wakatwe 9% tu kwa mwezi hivi leo.
Chama cha mapinduzi kimempongeza pia Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupunguza kodi ya Mishahara kwa watumishi wote wa Umma na binafsi yaani (PAYE) kutoka 9% ya awali hadi 8% hii yote ni nia ya Serikali ya CCM katika kuwaletea wananchi wake maendeleo endelevu.
Chama kimempongeza zaidi Rais Samia Suluhu Hassan katika kusimamia Utawala wa Sheria na Utawala bora, Haki za kibinadamu, Ukuzaji mkubwa wa demokrasia ya vyama vingi nchini, kujenga inchi isiyoyegemea itikadi ya dini|kabila|kanda yeyote na kuufurusha kila aina ya Ufisadi na Rushwa nchi.
Haya yamesemwa na Katibu wa Nec Itikadi na Uenezi CCM Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka alipokuwa akiongea na Wanahabari Ofisi ndogo ya Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Vizuri sanaTanzania nchi yetu inakwenda vizuri sana
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza na kumshukuru amiri Jeshi mkuu na Rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa Uzalendo wake kwa Taifa, Ushupavu na Ujasiri katika kulinda na kusimamia "Tunu za Taifa" letu kwa nguvu zake zote kwa akili zake zote na kwa moyo wake wote huku msingi mkuu wa yote haya ukiwa ni kuwaletea wananchi hawa masikini maendeleo endelevu.
Pamoja na hilo,Chama cha Mapinduzi pia kimempongeza na kumsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuwathamani watumishi wa umma nchini ikiwa ni baada ya zaidi ya watumishi 180,000 kupandishwa vyeo (kuongezwa mishahara) na Wale wote wanaodaiwa mikopo ya bodi (HESLB) ambao kila mwezi walikatwa 15% ya Mshahara wao Mhe Samia Suluhu Hassan kawaondolea hiyo Value Retention Fee (VRF) ambayo ilikuwa ni 6% nakuwafanya wakatwe 9% tu kwa mwezi hivi leo.
Chama cha mapinduzi kimempongeza pia Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupunguza kodi ya Mishahara kwa watumishi wote wa Umma na binafsi yaani (PAYE) kutoka 9% ya awali hadi 8% hii yote ni nia ya Serikali ya CCM katika kuwaletea wananchi wake maendeleo endelevu.
Chama kimempongeza zaidi Rais Samia Suluhu Hassan katika kusimamia Utawala wa Sheria na Utawala bora, Haki za kibinadamu, Ukuzaji mkubwa wa demokrasia ya vyama vingi nchini, kujenga inchi isiyoyegemea itikadi ya dini|kabila|kanda yeyote na kuufurusha kila aina ya Ufisadi na Rushwa nchi.
Haya yamesemwa na Katibu wa Nec Itikadi na Uenezi CCM Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka alipokuwa akiongea na Wanahabari Ofisi ndogo ya Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Daaah ila Mungu fundi sanaNajaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
TUSIWE WANAFIKI.KUHUSU DEMOKRSIA MAMA ANAFELI KWA SABABU KATIBA KAKATAA NA MBOYE BADO YUPO JAIL.Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza na kumshukuru amiri Jeshi mkuu na Rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa Uzalendo wake kwa Taifa, Ushupavu na Ujasiri katika kulinda na kusimamia "Tunu za Taifa" letu kwa nguvu zake zote kwa akili zake zote na kwa moyo wake wote huku msingi mkuu wa yote haya ukiwa ni kuwaletea wananchi hawa masikini maendeleo endelevu.
Pamoja na hilo,Chama cha Mapinduzi pia kimempongeza na kumsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuwathamani watumishi wa umma nchini ikiwa ni baada ya zaidi ya watumishi 180,000 kupandishwa vyeo (kuongezwa mishahara) na Wale wote wanaodaiwa mikopo ya bodi (HESLB) ambao kila mwezi walikatwa 15% ya Mshahara wao Mhe Samia Suluhu Hassan kawaondolea hiyo Value Retention Fee (VRF) ambayo ilikuwa ni 6% nakuwafanya wakatwe 9% tu kwa mwezi hivi leo.
Chama cha mapinduzi kimempongeza pia Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupunguza kodi ya Mishahara kwa watumishi wote wa Umma na binafsi yaani (PAYE) kutoka 9% ya awali hadi 8% hii yote ni nia ya Serikali ya CCM katika kuwaletea wananchi wake maendeleo endelevu.
Chama kimempongeza zaidi Rais Samia Suluhu Hassan katika kusimamia Utawala wa Sheria na Utawala bora, Haki za kibinadamu, Ukuzaji mkubwa wa demokrasia ya vyama vingi nchini, kujenga inchi isiyoyegemea itikadi ya dini|kabila|kanda yeyote na kuufurusha kila aina ya Ufisadi na Rushwa nchi.
Haya yamesemwa na Katibu wa Nec Itikadi na Uenezi CCM Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka alipokuwa akiongea na Wanahabari Ofisi ndogo ya Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Mkt wa Katiba Mzee Waryoba umemsikia kasemaje?TUSIWE WANAFIKI.KUHUSU DEMOKRSIA MAMA ANAFELI KWA SABABU KATIBA KAKATAA NA MBOYE BADO YUPO JAIL.