Chama cha Mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia Disemba 2025 hadi February 2026

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Chama cha mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia disemba 2025 mpaka February 2026

  • Mbunge Jenista Mhagama alifariki 11 Disemba 2025
  • Mbunge Halima Nassor alifariki 18 January 2026.
  • Munde Tambwe alifariki tarehe 3 February 2026

Pole ziende kwa rais na chama chake.
 
Na hizo zote ni off target tu, lakini nyavu lazima zitikisike soon.
 
Mbona hii spidi ni ndogo sana?
 
Mh! Ngoja ninyamaze ................3 vs 10,000 nani kapoteza zaidi?
 
Mh! Ngoja ninyamaze ................3 vs 10,000 nani kapoteza zaidi?
Ngoja gari lichanganye vilio vitakuwa haviishi na lengo ni hapo utosini kabisa ili Taifa lirindime kwa shangwe kuu.
 
kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake bila kiherehere cha binadamu mwingine
 
Kwa nini wote waliovuta ni wanawake tu?

Ina maana huko ccm wanaume hawafi?

Au ule misemo wa Makamba sr. Kwamba watu wazuri hawafi unawahusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…