Chama cha Mapinduzi na Mei Mosi 2022

Chama cha Mapinduzi na Mei Mosi 2022

Mwanahabari wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
1,588
Reaction score
956
Chama cha Mapinduzi kinawashukuru
na kuwapongeza wafanyakazi wote nchini kwa kuendelea kuitekeleza kwa
Vitendo Ilani yao ya Uchaguzi 2020|25,

Ifahamike kuwa kila mfanyakazi anayefanya kazi Serikalini lazima awe ni Mwana-CCM ,

IMG-20220501-WA0002.jpg

IMG-20220501-WA0001.jpg

IMG-20220501-WA0000.jpg
 
Nyoko!

Nani alikudanganya kuwa, kila mtumishi Wa serikali ni mwanaccm?

Kutekeleza ilani ya Chama kilichopo madarakani haina maana kuwa wewe ni CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
hawatekelezi ilani ya chama,watumishi wanatekeleza yale yaliyomo kwenye sera ya nchi.Ilani waulizwe awaliopewa udhamini na ccm kuomba kura kwa wananchi
 
Back
Top Bottom