Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,588
- 956
Chama cha Mapinduzi kinawashukuru
na kuwapongeza wafanyakazi wote nchini kwa kuendelea kuitekeleza ...
Mkuu Mwanahabari wa Taifa , asante kwa taarifa, kuna vitu sisi wengine ambao sio watumishi wa Serikali, tulikuwa hatuvifahamu, kumbe watumishi wote wa umma ni lazima wawe wana CCM!, ndio maana CCM ni chama imara sana na kutawala milele. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.Ifahamike kuwa kila mfanyakazi anayefanya kazi Serikalini lazima awe ni Mwana-CCM ,
hawatekelezi ilani ya chama,watumishi wanatekeleza yale yaliyomo kwenye sera ya nchi.Ilani waulizwe awaliopewa udhamini na ccm kuomba kura kwa wananchiNyoko!
Nani alikudanganya kuwa, kila mtumishi Wa serikali ni mwanaccm?
Kutekeleza ilani ya Chama kilichopo madarakani haina maana kuwa wewe ni CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU Pascal Mayalla ,Anayetoka na taulo chumbani mwa Mama yako huyo ni baba, πππMkuu Mwanahabari wa Taifa , asante kwa taarifa, kuna vitu sisi wengine ambao sio watumishi wa Serikali, tulikuwa hatuvifahamu, kumbe watumishi wote wa umma ni lazima wawe wana CCM!, ndio maana CCM ni chama imara sana na kutawala milele. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Uko sahihi kabisa, Japo wanafeli SanaKule Korea ya Kiduku chama cha wafanyakazi ndiyo serikali yenyewe.
Chama tawala, CCM, CHAMA===
Chama cha Mapinduzi kinawashukuru
na kuwapongeza wafanyakazi wote nchini kwa kuendelea kuitekeleza kwa
Vitendo Ilani yao ya Uchaguzi 2020|25,
Ifahamike kuwa kila mfanyakazi anayefanya kazi Serikalini lazima awe ni Mwana-CCM ,
View attachment 2206802
View attachment 2206803
View attachment 2206804
Asante Sana CCM kututakia heri sisi wafanyakaziChama tawala, CCM, CHAMA