Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Chama cha Marine LePen kimepata kupata karibu 30%, wakati upande wa chama cha Macron kimepata kura kwa karibu 15%.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuvunja bunge la kitaifa na kutoa wito wa uchaguzi wa haraka Juni 30 na Julai 7.
Chama cha AfD cha Ujerumani kilipanda hadi nafasi ya pili, na kukipita chama cha Social Democrats cha Scholz kinachoshika nafasi ya tatu.
Vyama vya siasa za mrengo wa kulia vimepata mafanikio makubwa katika uchaguzi wa wabunge wa Umoja wa Ulaya, na kuvishinda chama cha Chancellor wa Ujerumani Olaf Scholz cha, chama cha Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, na chama cha Chancellor wa Austria Karl Nehammer.