Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Au tuseme wapiga-kura wenyewe ndio walikuwa kwenye payrolls za FSB.Usikute wahesabu kura walikuwa majasusi wa urusi😂😂😂
Vyama vilivyoshinda ni sababu havipendi wahamiaji waarabu na weuusi.Sera yao kubwa ni kupambana na uhamiaji.Ukiona hivyo. yama vilivyo shinda vinapinga sana jinsi Mataofa yao yanadili na Russia
Hapa Kuna ukweliVyama vilivyoshinda ni sababu havipendi wahamiaji waarabu na weuusi.Sera yao kubwa ni kupambana na uhamiaji.