Uchaguzi 2020 Chama cha TLP chaitisha Mkutano Mkuu 9/5/2020 ili kumpitisha Dkt. Magufuli kuwa Mgombea Urais

TI ELO PII TII ELO PIII, TII ELO PIIII....NAKUPENDA KWA MOYO WOTEEEE...JINA LAKO NI CHACHU CHAMA WEEE
 
Mrema mrema mrema!

Covid-19 inatupenda sana sisi wanyonge lakini nyie goigoi inabeba kama mwewe achukuavyo kifaranga!! We endelea kuunga mkono juhudi.

Tusilaumiwe kwamba hatukukuonya.
Hapo umevuka mpaka sasa. Kwa taarifa yako unaweza kutangulia kabla yao. Kumbuka waliomchuria EL mwaka 2015 wako wapi sasa hivi. Wakati mwingine mtumiage akili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…