Uchaguzi 2020 Chama cha TLP chaitisha Mkutano Mkuu 9/5/2020 ili kumpitisha Dkt. Magufuli kuwa Mgombea Urais

Uchaguzi 2020 Chama cha TLP chaitisha Mkutano Mkuu 9/5/2020 ili kumpitisha Dkt. Magufuli kuwa Mgombea Urais

Kasome katiba ya JMT ibara ya 33, utapata jibu.
33.-(1) Kutakuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano.

(2) Rais atakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.

Inahusiana vipi na swali langu kwamba Jee Magufuli akitoka Madarakani bado mtaendelea kumwita Mzalendo Namba moja??
 
Umeshajijibu akitoka madarakani...
 
Bora TLP wanajua hawawezi kushinda Bora wampitishe atakae shinda sio wale wahuni wengine wanajua kabisa hawawezi kushinda Wala haitatokea wakashinda lakini hawaachi zile ndoto zao za mchana
 
Tlp wana ofisi nzuri kuliko wahuni wengine [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Lyatonga Mrema ana kovu kubwa kisogoni ndiyo maana kuanzia akiwa Waziri wakati wa Mwinyi Barkhashia haimtoki. Nahisi moto aioangukia ulimsababishia madhara kwenye ubongo
 
TLP hawana ruzuku kwa miongo kadhaa sasa, hawapati hata senti. Lakini wana ofisi pale Magomeni tena ya 'kaghorofa' kamoja kinachonishangaza kuna chama kinalipwa 300m per month kama ruzuku, lkn wamepanga ofisi chafu chafu kinondoni. Chama kina wabunge zaidi ya 30, lakini hata ofisi ya maana hakuna! Viongozi wake ni mabilionea inavyosemekana, lakini...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tlp sio genge la wahuni
 
Ccm ana shida gani hadi waunge chama kimoja na tlp?
Wanachama wao tlp ndiyo wawe ccm wote.
Coalition hutokana na itikadi, imani na mitazamo ya kisiasa sio hizo shida unazofikilia. Kama TLP na CCM wanaona wamerandana katika yale wanayoamini kwanini wasishirikiane?
 
Back
Top Bottom