Uchaguzi 2020 Chama cha TLP chaitisha Mkutano Mkuu 9/5/2020 ili kumpitisha Dkt. Magufuli kuwa Mgombea Urais

Uchaguzi 2020 Chama cha TLP chaitisha Mkutano Mkuu 9/5/2020 ili kumpitisha Dkt. Magufuli kuwa Mgombea Urais

Double impacts
Facebook%20media%20-%20935589986899932%20(%20417%20X%20417%20).jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kufahamu hilo mpaka uwe mwanachama wa TLP? Mzalendo anajikana tu.
Hao wengine umejuaje kama si wazalendo? Uzalendo wa TLP umeupimaje kwenye hiyo hoja yao ya kuitisha Mkutano Mkuu wa chama chao kusema inamuunga mkono mtu ambaye hata chama chake CCM hakijaitisha Mkutano Mkuu wa kumpitisha kuwa Mgombea?
 
Hao wengine umejuaje kama si wazalendo? Uzalendo wa TLP umeupimaje kwenye hiyo hoja yao ya kuitisha Mkutano Mkuu wa chama chao kusema inamuunga mkono mtu ambaye hata chama chake hakijaitisha Mkutano Mkuu wa kumpitisha kuwa Mgombea?
Kitendo cha kumuunga mkono mzalendo namba 1. Hii ni ishara kuwa wanamapenzi na nchi yao na manufaa ya nchi yao.
 
Back
Top Bottom