Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Sema mashoga mjuane!!Wasalaam JF,
Kama mada inavyojieleza wale wana na mabaharia wa Chama letu la kataa ndoa tujuane kwa umoja wetu.
Shoga mwingine huyu hapa!KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
NDOA NI USANII
LINDA AFYA YAKO YA AKILI KATAA NDOA
Shoga ndio anaweza kataa ndoa.#kataandoa
Ni hatari sana kuoa zama hizi
mkuu punguza makasirikoShoga ndio anaweza kataa ndoa.
Ww hutakiwi kuwepo huku umevamia 😵🤣🤣Waebrania 13:4
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
kuna haja ya kuanza kujadiliana na waliokuja kututusi humu?Tuwakomeshee hawa mishumaa hawaziwezi mbususu sisi wakataa ndoa tukamue mbususu kama zote
hapana mkuu angalau yupo respectful ,Ww hutakiwi kuwepo huku umevamia 😵🤣🤣
mkuu?Waebrania 13:4
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Aliekuumba lazima akupe muongozo wa kuishimkuu?
hivi kwan ni dhambi mimi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke pasipo ndoa?
ipo hivi.
nime fokasi kwenye my purpose and goals in life, simple man , no divorces , no hard drugs, no expensive hobbies nipo na project yangu na little empire yangu , she can join me if she wants lkn pia she can walk away if wants to.
hakuna legal contracts .
to me
it feels perfect.
mkuu.Mbona mnakataa ndoa ni hizo mbususu za wanawake mnazitaka? Eti kataa ndoa kwa afya ya akili, huyo.mwanamkr utaekua nae wa kununua ndo atasaidia afya zenu za akili?
mkuu?